Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Ktk thread nilizo wahi kuzisoma, hii imejaa uzushi & uongo uliokubuhu. Jamani hata kama tuna uhuru wa kuandika ila tuweni makini na tukiandikacho, tusifikie hatua ya kuupotosha umma kisa maslahi binafsi, either kujitafutia umaarufu au vinginevyo. Kwa tungo zenu hizi za kizushi mtawadanganya hao wasiokuwa makini ktk kuelewa na kufuatilia vitu.
 
Nilikaona kale kabinti Cesilia kalikopelekwa India kwa jitihada na michango ya watu kakiwa kamerudishwa baada ya matibabu kushindikana kwa kuwa kamechelewa kugundulika tatizo lake. Akina Mwakyembe, Mwandosya, Maghufuli, wanapelekwa haraka kwa hati za dharura na gharama zote kabisa zikitolewa na serikali. Ni kweli alivyosema Nape juzi. Tanzania ina wenyewe. Na wenyewe ni akina Mwakyembe, Mwandosya,......Sio akina Secilia!
Elewa kwamba maradhi hayafanani. Cesilia bila shaka walishindwa kufanya operation kwasababu angefia theatre. Wakina Mwakyembe na Mwandosya madhara yao kuna chance yakuyaponya au kupunguza makali.
 
Siasa si jambo la kawaida ni radhi mtu afe ili wengine waendelee na yao, tupo tu mtaani ila kuna mambo makubwa yanaendelea, mapambano ya kutisha, ukiingia kwenye siasa na dhumuni jema basi ujipange vilivyo maana binadamu ni mnyama mwenye roho mbaya kuliko wanyama wote anaweza akatabasamu mbele yako kumbe ana mipango mibaya na wewe! Wanakwambia ukitaka kuona hali halisi ya mwanadamu mpe madaraka!
 
Elewa kwamba maradhi hayafanani. Cesilia bila shaka walishindwa kufanya operation kwasababu angefia theatre. Wakina Mwakyembe na Mwandosya madhara yao kuna chance yakuyaponya au kupunguza makali.

Naombeni contact za huyo msichana Cesilia niongee naye naweza msaidia maana anaposhindwa mwanadamu ndipo Mungu anapoanzia! Well sihitaji kuongea naye kama ana ndugu hapa mwambieni asome matendo ya mitume sura ya 10 mistari kuanzia 38-43. Kwa siku tatu mfulilizo aki meditate mchana na usiku naye atapona kabisa. Baada ya siku tatu huyo ndugu alete majibu hapa JF of what has happened! Then baada ya hapo nitamwambia chakufanya zaidi.
 
Kuhusu Mwakyembe I need to know anaendeleaje kuanzia juzi hali yake itakuwa imeanza kutengamaa; I need one to comfirm this!
 
kweli kitabibu yule binti alicheleweshwa matibabu kwa muono wa madaktari
isingewezekana lakini kwa DAKTARI MKUU NA TABIBU MKUU YESU MWENYEWE atatenda miujiza atapona.cha muhimu imani.
wapo wachungaji wa ukweli watamwombea.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kumbe Tanzania iko hivi! Ndio maana hata JK akaogopa! Hii ndiyo sababu hawagusi mafisadi, nchi hii ina wenyewe (kamaa vile ilivyo Marekani: waona ahadi za Obama za kugeuza siasa Washingotn zimeishia wapi?)
 
Uchunguzi wako ni mzuri sana lakini mimi kinachonipa wasiwasi ni kwenye hii sumu ya polonium 236 nachotaka kujua ni wale watu waliokaa karibu na makyembe wakati huo wa mkutano mlimani city wako wapi sasa hivi?na hali yao ya kiafya ikoje?Kitu kingine ambacho natia wasiwasi hiyo sumu ni hatari sana siyo ya mchezomchezo,je mke wake makyembe hali yake ikoje manake na yeye ana nafasi kubwa ya kuwa affected na hiyo sumu manake yeye ni mtu ambaye yuko karibu sana na makyembe,kama hali yake nzuri, hapo kwenye kutumika Polonium natia shaka.Sina uhakika kama ujasusi wetu wa nchi masikini kama Tanzania unaweza kufikia kiwango cha juu kiasi hicho cha kutumia Polonium 236.
 
Jason Bourne; Kila nisomapo maandishi yako humu JF huwa nashawishika kuamini kuwa na wewe uko huko UWT(TISS) No offence intended. Hata hivyo nakushukuru kwa kutujuza mazito haya yanayoendelea ndani ta Tanzania yetu.

Jamaa ni LTK huyo ha ha ha
 
Mkuu JB....Ahsante sana kwa kutuletea habari hii "japo haijathibitishwa" nakumbuka siku ile ulisema utatuletea ukweli wa jambo hili baada ya
masaa 48....lakini yakapita, si mbaya leo umetuletea. Nakumbuka siku ile nilikuiambia kuwa ninahisi wewe uko sehemu nyeti sana serikalini kutokana
na taharifa zako za jikoni. Ahsante sana mkuu kwa kutuletea umafia kama huu (kama ni kweli) ila narudia te tunes na kukuambia kuwa muangalifu sana
magamba wasikushtukie kama unamwaga data kama hizi
hadharani maana wanaweza kukukolimba na kukukombe!. Big up JB[/






As long as i know Polonium 236, scientifically if his wife she is still safe, no any infections, then sio kweli, jamani you people just ISIKIENI TU VERBALLY POLONIUM, is the most dangerous element, it's a desintegrating element, in kiswahili unapukutika if it affected u, na pia inasambaa kwa mtu wakaribu mnaeshea nae say kitanda, au taulo, au hata mate, ni HATARIIIII, search
 
Polonium is a chemical element with the symbol Po and atomic number 84, discovered in 1898 by Marie Skłodowska-Curie and Pierre Curie. Source Internet.
 
In 2006, The Soviet Union used Polonium to poison one of their most trusted watermelon farmers, & Alexander Valterovich Litvinenko to death, after finding out that he had started cultivating cantaloupes instead of watermelons.
 
Kama ni kweli sumu polonium 236 imetumika kudhuru maisha ya watu hapa Tanzania, je sumu hiyo haijapigwa marufuku kama DDT?Sasa walioruhusu iingie hapa nchini si nao wanapaswa kuchukuliwa hatua?Wana JF mlio kwenye ulinzi serikali inafuatilia taarifa hii?Naleta kwenu kwa mjadala.
 
Kwa nini hawa jamaa kama wote ni wa TISS wakimbie ofisi zao na kufanyia mkutano Moven Pick?

mbona mnamuhoji sana mkuu??.Kesha wambia baada ya kushauliwa ikabidi kuna mambo ayapunguze.Kwanza nazan hatumfaham huyu aliyeandaa ripot hii anahusikaje au anauhusiano gan na wahusika xaxa nyie mlitaka ataje ofisi kilipofanyikia kikao ili iweje??.
Hum hum siajab hao wahusika nao wamo na mi namashaka xana na nyie mnaouliza uliza maswali ya rejareja ili muweze kujua msariti wen nan. Hiii ndiyo jf bana zaidi ya fbi.
 
mbona mnamuhoji sana mkuu??.Kesha wambia baada ya kushauliwa ikabidi kuna mambo ayapunguze.Kwanza nazan hatumfaham huyu aliyeandaa ripot hii anahusikaje au anauhusiano gan na wahusika xaxa nyie mlitaka ataje ofisi kilipofanyikia kikao ili iweje??.
Hum hum siajab hao wahusika nao wamo na mi namashaka xana na nyie mnaouliza uliza maswali ya rejareja ili muweze kujua msariti wen nan. Hiii ndiyo jf bana zaidi ya fbi.

Point unayo angalau.
Ila lugha za ki-facebook hapa sio mahali pake,
Ma-Great Thinker hua hawaongeagi hivyo
 
Back
Top Bottom