Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Let us sing redemption song "Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds. Have no fear for atomic energy, 'Cause none of them can stop the time. How long shall they kill our prophets, While we stand aside and look? Ooh! Some say it's just a part of it: We've got to fulfill the Book. Won't you help to sing These songs of freedom? 'Cause all I ever have: Redemption songs, Redemption songs, Redemption songs. These songs of freedom, Songs of freedom.
 
Kwel! kwel ! Hii balaa,niko neutral, jaman jaman hii nchi haiko maususi kwa kuangalia uhai wa wa2, huu ndo miongon mwa udhaifu wa nchi hii tangu enzi za mwal, 2fikiri tu ni wa2 wangap viongozi au wa2 bak wameshakufa katika mazingira ya utata lakn hakuna wa2 walioandibishwa, kwa hy 2sishangae, fikiria 2 ajal ya chacha wangwe, sokoine maskini yani inatia uchungu, proff wa sheria dar yan wa2 wengi, hii pia ni changamoto kwa wanasiasa we2. Iwe mjadala kwa wa2 wote vifo vya ajabu ajabu 2vioji 2ache usiri usio saidia, nawasilisha
 

Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu.

Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.





RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

JASON BOURNE
TEL:*********
ID************

Hatua ya kwanza:
Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS.

Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano.
  1. Maboharia wawili
  2. Wapanga mikakati wawili
  3. Mkuu wa LTK
  4. Vijana wa kazi kumi
Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe)

Hatua walizopitia:

Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu.

Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu:
1. Wilblod Slaa
2. Samweli Sitta
3. Harison Mwakyembe
4. Said Kubenea
5. Mark Mwandosya

Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita,

  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5

Baada ya mjadala wa saa moja uliogusa magumu inayokumbana serikali na watu walio waona wao ni vikwazo na waliosababisha magumu hayo, ndipo wakaibuka na listi ya wanaotakiwa kusalimisha uhai wao:

Bada ya hapo kesho yake TISS/B1 alikutana na LTK/D00/B1 na kumpa amri ya misheni hiyo na orodha kamili ya watuhumiwa bila kumwambia sababu za mauaji hayo, zaidi alisema "nahitaji ripoti ya utekelezaji".



Baada ya amri kuwa chini ya LTK, mikakati ya aina ya kifo kwa kila mtuhumiwa ilipangwa ambapo walipamgwa katika makundi matatu,

1 Samweli Sitta
2 Harison Mwakyembe
3 Mark Mwandosya
Hawa wamepangiwa vifo vya aina mbili kwanza ajali na ikishindikana watalishwa sumu.

1 Said Kubenea

Kumwagiwa tindikali, baada ya kufeli ile ya kwanza imeagizwa nyingine toka Bulgaria yenye kuua baada ya masaa kumi na mbili tu!

1.Wilblod Slaa

Huyu anatakiwa kufa kwa shabaha ya risasi (snipers) ndio wanao andaliwa tu kwa sasa.

Waliopewa kipaumbele kufa ni Samweli Sita, Mark Mwandosya na Harison Mwakyembe ambapo LTK/D00/B10, LTK/D00/B14, LTK/D00/B17 na LTK/D00/B21 walipewa kazi hiyo.

Kikwazo kikuu walichokumbana nacho vijana wa kazi, ni kuwa, Sita, Mwandosya na Mwakyembe wote ni majasusi na kwapamoja walifanikiwa kufumbua njama hizo chafu za mauaji kwa siri.

Mitego ya ajari 16 kwa Mwakyembe yote imemkosa, 12 kwa Sita nayo ikamkosa,7 kwa Mwandosya nae kakoswa.

Walipoona mbinu zote za vifo vya ajali zimefeli wakahamia kwenye aina ya pili ya vifo vya kulishwa sumu:


Katika aina hii ya mauaji kwa muujibu wa vijana wa kazi wanashangaa uimara wa Samweli Sita na Mwakyembe kwani wameshalishwa aina nyingi za sumu lakini bado wanadunda tu, kwanza sumu ya kwanza kuwalisha ni katika kikao cha kwanza cha bunge mwa 2011, hawakupata madhara yoyote.


Wakabadilishiwa aina ya sumu, hakika hii ilimpata zaidi Mwandosya kwani ilipandikizwa katka simu yake ya mkononi bila yeye kujua saa 4:40 asubuhi ofisini kwake tarehe 7/3/2011.

Aina hii ya sumu (jina sikupata kujua lakini hapa huitwa LTK/XXX) nayo ilishindwa kuzaa matunda kwa Mwakyembe na Sita licha ya kupewa katika mazingira tofauti,hii ilitokana na kuwa kidogo.



Zoezi hili zito na la hatari baada ya kuwa gumu kupita kiwango kwakuwa hata Mwandosya hakudhurika sana, ilibidi uhitajike msaada toka nje ya nchi na ndipo jasusi mashuhuri wa kitanzania Exaveri H.Limo akaenda Urusi kutafuta aina nyingine ya sumu kali.

Tarehe 11/7/2011 akafanikiwa kukutana na Zudrav Ghev mmoja wa wakemia wa KGB katka kituo cha Moscow akapata Polonium 236, kutokana na unyeti na hatari ya sumu hiyo ilimlazimu bwana Zudrav Ghev kuchukua ndege ya watu wa tano na kuruka mpaka tz .

Baada ya kufika tz bwana Zudrav alitoa mafunzo ya wiki moja jinzi ya kuhifadhi na kutumia kisha akatokomea kurudi kwao na vijana wake wanne.


Baada ya Mrusi kuondoka misheni zikaendelea na mnamo tarehe 24 /7/ 2011 wakati afya ya Mwandosya ikiendelea kuzorota mmoja wa LTK/D00/B10 wa kike alifanikiwa kumuwekea Polonium 236 katika chai nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa watu waliokwenda kumjulia hali,

Na Mwakyembe alikuja kuwekewa ktk maji ya kunywa na kwenye kitambaa cha kufutia uso LTK/D00/B17 siku ya uzinduzi wa kikao cha Makandarasi,Wahandisi na Wakadiriaji majenzi pale Mlimani City kilichohudhuriwa na rais.

Kuonyesha kuwa Mwakyembe ni jasusi aliye kubuhu siku hiyo maji hakuyanywa wala kugusa kabisa lakini mungu si athumani kitambaa akakitumia, jambo la kushangaza nikuwa baada ya kama dakika 20 kukitumia kile kitambaa alikitupa wakati anatoka eneo la Mlimani City.

Hivi sasa LTK wameshamaliza kazi yao kwa watu wawili na anayefuata ni Samweli Sita
Na uwezekano wa kupona kwa India ni mdogo ila wanaweza kupunguza makali na kusogeza mbeli mauti yao hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa LTK.

Slaa maandalizi yake yanaangalia zaidi uchaguzi ujao ingawa kumeingia aina ya mabishano makali juu ya kumuua hasa wakihofia kutokea kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kwakuwa jamii ya kitanzania na kimatafa inamtambua.


Said Kubenea amekabidhiwa LTK/D00/B21 ambae anasubiri kitendea kazi toka Bulgaria ambapo jasusi Yugrov Dittzov ndie atakae ileta.





Huu ndio uchunguzi wangu binafsi baada ya kupata taarifa juu ya hali ya Dr Harison Mwakyembe kuwa ni tete.

Nasema kuwa serikali ya Tanzania inafanya mauaji ya rai wake hasa viongozi wenye mtazamo tofauti na serikali.

Naiomba serikali ya Mh rais isikilize kilio cha watanzania isisikilize kilio cha wa kwasi na mafisadi.

Nina waomba watanzania tuungane pamoja bila kujali dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu kulikataa kundi hili la wahalifu lisilozidi watu 30.




Huu ni uchunguzi wangu, unahaki ya kusubiri uchungu wa madaktari wa India

ASANTENI SANA:
JASON BOURNE

Jason binafsi nasema asante.

wanaopinga sana taarifa hii ni walewale,usife moyo tunaomba mengi zaidi,tunajua na tunachukua kinga zaidi Mungu yuko upande wao zaidi tunamuomba sana.

keep it up.

Thx
 
duh!!!!!!!!!!!! jamani hii balaa kubwa.
 
Thanks bourne, I always appreciate ur updateS and trust your thread, thanks a lot for educating us who can not access such data, keep it up
 
hafi mtu hapa wala msihofu Mungu atawalinda,akifa hata mmojawao kati ya waliotwajwa na mwakyembe nchi haitakalika
vitazuka vita kati ya upinzani wapenda haki na magamba. ole wao watakaovaa kijani cijui watakimbilia wapi.
shetani alivo mwema ameshaanza kuwachanganya wanaumbuana wao kwa kwao mwishowe wataanika maouvu yao.
najuta kuitwa Mtanzania,
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Jason Bourne,

Kama kuna daktari bingwa vile mtaalam wa POLLOMONIUM 236 kaagizwa vile kutia timu India kwenye jopo la waganga wanaowatibu hivi sasa Dr Mwakyembe pamoja n Prof Mwandosya vile.

Hebu piga jicho kidogo chini ya bahari basi utaona kitu.

hafi mtu hapa wala msihofu Mungu atawalinda,akifa hata mmojawao kati ya waliotwajwa na mwakyembe nchi haitakalika
vitazuka vita kati ya upinzani wapenda haki na magamba. ole wao watakaovaa kijani cijui watakimbilia wapi.
shetani alivo mwema ameshaanza kuwachanganya wanaumbuana wao kwa kwao mwishowe wataanika maouvu yao.
najuta kuitwa Mtanzania,
 
hafi mtu hapa wala msihofu Mungu atawalinda,akifa hata mmojawao kati ya waliotwajwa na mwakyembe nchi haitakalika
vitazuka vita kati ya upinzani wapenda haki na magamba. ole wao watakaovaa kijani cijui watakimbilia wapi.
shetani alivo mwema ameshaanza kuwachanganya wanaumbuana wao kwa kwao mwishowe wataanika maouvu yao.
najuta kuitwa Mtanzania,

Walikwisha ubuana na kusema hakuna msafi CCM, wakajiita magamba, wamekula kupitia Deep Green, Meremeta, Net Group Solution, EPA, Minara ya BOT, Wanyama wa KIA, Buzwagi, Mikataba feki ya uchimbaji madini, Rada, Milungula ya ndege ya Mfalme, RITES, Wanabishana hadharani kuwa mmoja papa mwingine Nyangumi nk. Au wewe unataka waumbuane vipi? TUMECHOKA kuongea mate yamekauka. Mimi ntanunua Petrol lita 20 za kuweka kwenye vyupa vya bia na tambi. Wakirusha maji ya upupu na mabomu ya machozi mimi ntawarushia sms ya chupa ya petrol na moto. Potelea mbali bora nimetetea rasilimali za nchi yangu zisiporwe na majambazi.
 
Wanatimiza ilani ya chama mkuu,kwahiyo kama ukubaliana na ilani ya CCM toka CCM otherwise watakuua wakati unaendelea kukaa nao...
 

Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita,

  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5

Kwa nini hawa jamaa kama wote ni wa TISS wakimbie ofisi zao na kufanyia mkutano Moven Pick?
 
..kwa kuwa CCM si chama cha ndugu mmoja, hii mbinu ilishafika mwisho. Huwezi kuua watanzania then wakae kimya,
 
Jason Bourne; Kila nisomapo maandishi yako humu JF huwa nashawishika kuamini kuwa na wewe uko huko UWT(TISS) No offence intended. Hata hivyo nakushukuru kwa kutujuza mazito haya yanayoendelea ndani ta Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom