Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Mkuu mimi nakuunga mkono kwamba kuna unafiki,ila unafiki
una viwango na hivyo lawama
tuzipeleke kwa viwango,mpaka sasa huyo ndugu
ni mheshimiwa diwani,na kabla hujawa diwani
kuna mchakato wa jina kupitishwa kwenye
kamati za maadili,je kashfa hizo ulizozitaja
kamati ya maadili ilizijua? na kama ilizijua
ilimpitishaje kuwa mgombea wa udiwani?

Kama haikuzijua mkono uliomfikia sasa hivi
umetokana na chama gani,ambacho wakati huo hakikuwa na dola?
au utawala wa chama gani,ambao kwenye uchaguzi
ulishindwa kuyaibua haya na kumchuja asije akaaibisha chama mbeleni?
Hukumbuki Yusuf Manji alikatwa kwenye kugombea udiwani then pesa ikaongea Mr. Handsome akarudisha jina kwa barua moja toka makao makuu ya Chama?
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
hakuna anae mtetea manji kwa hayo matukio bt watu wanacholalamika sheria hzifatwi kumuadhibu
na tukiliachia bila kukemea huu utaratb utazoeleka na utaanza kuwaaumiza wasio na hatia
 
Ni raha sana ukiwajulia hawa watu,
Wao huenda kinyumenyume tu!
Endapo leo serikali ikatangaza madawa ya kulevya hayapo tena, wao watapiga kelele na kusema yapo na ikiwezekana watatangaza majina hadharani.

Hawaeleweki nini wanataka au nini malengo yao.
Ni kama vile una watoto wanaotaka chochote waonacho mbele ya macho yao.

Hawa watu ni kwenda nao hivi hivi, wakipiga kelele wewe umenuna, ili mradi una good will!
 
Hakuna kuangalia Sura kwa sasa
lazima Serikali ijulikane kama si dhaifu
 
hakuna anae mtetea manji kwa hayo matukio bt watu wanacholalamika sheria hzifatwi kumuadhibu
na tukiliachia bila kukemea huu utaratb utazoeleka na utaanza kuwaaumiza wasio na hatia

Shida ya watanzania kila mtu mwanasheria!! Yupo mikononi mwa vyombo vya usalama anahojiwa, wewe unataka sheria ipi ifuatwe!!!
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Katika skendo zote ulizotaja, hakuna hata moja aliyoitwa hadharani kuhojiwa na kisha kueleza hatua zilizochukuliwa.huu ndo unafiki uliopitiliza.
 
Wenye akili wameamua kukaa kimya kwani mapendekezo yao yanafanyiwa kazi bila kuchelewa.
Waliosema serikali dhaifu sasa mioyo yao inaburudiko kubwa na ndo maana ya ukimya wao leo hii.

Kinyume cha dhaifu tunaweza kuita madhubuti ama imara.
 
Shida ya watanzania kila mtu mwanasheria!! Yupo mikononi mwa vyombo vya usalama anahojiwa, wewe unataka sheria ipi ifuatwe!!!
wote tumemsikia gwajima kwamba wote walipelekwa kupima majib sawa wakaenda kusachiwa wote hawakukutwa na kitu gwajima leo yuko nje yy kabak ndan alaf unalalamika kila mtz anajua sheria kuna vtu vingne haviitaj uingie darasan ndo ujue tatzo ni nn
 
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Bila shaka ulitimuliwa kaz maana sio kwachuki hizo, nenda bas ukatoe ushahidi
 
Hata Jf ni mahakama pia, maana ukweli huwa unamaumivu
Ukweli upi uliozungumza zaidi ya upuuzi wenu wa kutetea kila lifanywalo na serikali hata kama kwa jicho la kila mwenye akili inaonekana ni uonevu na matumizi ya mabavu?
 
Aliyeleta uzi, alisema "Wapinzani", naomba usiwe mwepesi kusahau na mgumu kuelewa.

Hao waliofungiwa barabara na wananchi, walifungiwa kwa sababu ni waharifu ila tu hatutaki washughulikiwe?

Sifunze kuelewa mada. Tatizo ni kukiukwa kwa taratibu. Mchakato mzima alivyoupeleka huyu jamaa, sasa umewafanya waharifu wengi kuharibu ushahidi. Siyo kila kitu ni kusema "Ndiyooooo" au Hapanaaaa. Yapo masuala ya kitaalamu, yanahitaji taaluma. Lakini pia taaluma ina maadili yake makubwa ambayo ni kweli na haki. Kwa kufanyika vibaya kwa kazi hapatakuwa na matokeo ambayo yangepatikana kama zoezi lingefanywa kitaalam na kwa nia njema.

Hivi wewe unamtaja Mbowe kwa sababu za kisiasa, Gwajima kwa chuki za kitemi, wakati huo huo unawakwepesha makusudi watu wanaofahamika kimataifa, halafu unalazimisha tupige makofi tukisema "kazi ni njema"?

BTW, Watu waliandamana polisi ajili ya Gwajima. Gwajima aliyetajwa unayemsema ni adui, je ni kweli sasa ni shabaha sahihi? Kazi zingine hazihitaji ushabiki na wala hazina kura. Ni suala la kweli, na haki kwa mujibu wa sheria. Makonda ana mamlaka gani ya kuwaita watu kwenda kituo cha polisi?

Jifunze kuchambua, kutofautisha na kuwaelewa watu kile wanachokisema. Epuka sana kubeba mambo mzobemzobe kwa bei ya jumla kwa sababu unanunua mauti ililyopambwa kwa marham!.
We una hakika gani kama Gwajima msafi? Au Wapinzani sisi ni wasafi... Tuache siasa tumjadili Manji. We unajuwa kwamba chadema wana server ipo Kazakhstan walitaka kutumia mwaka jana, system ikawahi kui bypass... Jaman acheni siasa hapa tumjadili Manji ana usafi wa kupigiwa kelele hivi... Unajuwa keshawalaza watu wangapi polisi kwa kutumia pesa bila sababu... Muulize Beno Njovu.
downloadfile.jpeg

Mods naomba msaada wa kubandika hizo emails kwenye main post
wote tumemsikia gwajima kwamba wote walipelekwa kupima majib sawa wakaenda kusachiwa wote hawakukutwa na kitu gwajima leo yuko nje yy kabak ndan alaf unalalamika kila mtz anajua sheria kuna vtu vingne haviitaj uingie darasan ndo ujue tatzo ni nn
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Mbona la madawa ya kulevya na kuajili wageni wasio na vibali hujasema...lengo la Uzi wako ni lipi hapo...
Hayo yote ulioyo yaoroshesha hapo, hakuna hata moja alilowahi kushtakiwa nalo......
NB:Wewe ndo mnafiki
 
Ondoa siasa kwenye hii kitu
Kuna mambo matatu tu katika watetezi wa Manji nayo ni (1) Siasa:-wapinga Makonda na bosi wake na wale watetezi wa Mwenyekiti wa CDM (2) Uyanga (3) Watumiaji au/na wauzaji madawa.
Kundi la kwanza ndio wengi zaidi kuliko 2 &3. Kwenye huu unafiki siasa haikwepeki.
 
Back
Top Bottom