Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Mkuu mimi nakuunga mkono kwamba kuna unafiki,ila unafiki
una viwango na hivyo lawama
tuzipeleke kwa viwango,mpaka sasa huyo ndugu
ni mheshimiwa diwani,na kabla hujawa diwani
kuna mchakato wa jina kupitishwa kwenye
kamati za maadili,je kashfa hizo ulizozitaja
kamati ya maadili ilizijua? na kama ilizijua
ilimpitishaje kuwa mgombea wa udiwani?

Kama haikuzijua mkono uliomfikia sasa hivi
umetokana na chama gani,ambacho wakati huo hakikuwa na dola?
au utawala wa chama gani,ambao kwenye uchaguzi
ulishindwa kuyaibua haya na kumchuja asije akaaibisha chama mbeleni?

Na halafu bila haya wala hofu, wanasema "waliwafahamu miaka kumi. Miaka kumi unafuga waharifu, unawapa uongozi, halafu unajibainisha wewe ni msimamizi wa katiba ya nchi, katiba inayowalinda watanzania!.

Leo unakuja n angonjera za kupambana na uharifu uliouasisi na kuufuga mwenyewe!. Na bahati mbaya agend ahiyo unaidandia kutoka watu wengine kiasi kwamba hata approach yako inathibitisha uwepo wa hila na agenda za kuwainda waharifu wengine.

Hivi ccm watu wakisema ni chama cha majambazi, wanalindana na hata wanapong'ang'ania kuendelea kutawala ni kwa sababu ya kuongopa sherika kwamba wakiachia maovu yao yatakuwa bayana na sherika itawakamata, na kwamba inabidi wakomae tu kwa usalama wa wao, watakuwa wanakosea?

Ccm ndiyo mauti ya Tanzania. Huwezi kuwa na serikali inayofuga waharifu miaka kumi halafu inaanza kubamiza watu innocents kwa maslahi ya kisiasa na visasi vya ki ukoo!.
 
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Ona sasa kosa ulilo fanya wewe
limem cost mwezio. Mungu anakuona ujue
 
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Kwanini bado uko nje?
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period

Ujinga gani huu, unajuaje hana hatia.
 
Wataka kusema miaka yote hiyo kilio/sauti hazikusika ila ndiyo zimesikika!
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.

Mungu gani huyo kaskia dua zenu!?

Yaani kwenye hizo tuhuma zote alikuwemo yeye peke yake tu!? Na kama hakuwa yeye pekee tu, huyo mungu ni kwanini awe mbaguzi kiasi hicho awasaidie kumkamata(according to your logic) Manji tu alafu hao watuhumiwa waendelee kubaki salama?

Acha kumshirikisha Mungu kwenye vita vyenu vilivyojaa upuuzi wa hira.
 
Tatizo la Moyo la MANJI ni bahada
ya kubanwa na kamanda siro au ni tatizo lake la zaman.Kwa anaefahamu please???
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Unafiki ni kawaida sana kwa binadamu. Ni lazima tufahamu ya kuwa binadamu wengi hatuna msimamo. Yesu mwenyewe alinafikiwa na wayahudi maana tunaambiwa mamia yao waliambatana nae alipokuwa akihubili na walimpenda na kumuita masiha. Ila baadae wakuu wa makuhani walipompeleka kwa pilato makusanyo (watu wengi) ambao walimuita masiha pia, walipaza sauti na kusema mfungulie baraba (mfungwa aliyestahili adhabu ya kuuawa) na kumvika Yesu adhabu ya kusurubiwa.

Leo pia kuna sauti za makuhani zinasema manji na wengine waneonewa na wengi wetu kama wale wayahudi tunaitikia hana kosa hali ya kuwa .................. mwenye kuelewa ajaze hapo.

Kwa hiyo binadamu ndivyo tulivyo tena hasa wale ambao hawafatilii mambo wanachukua juu juu kama lilivyo. Watu wanafanya justification zao kwa manufaa yao, then wengine mnafata tu......

Akitoka hospital akalipoti uhamiaji...
na kamishna asiishie hapo afatilie na wengine hasa wachina nawalakini na uhalali wa kuishi nchini humu...
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Excellent Nifah, anza kunywa fanta passion naja kulipa!!
 
Hata kama mtu alituhumia na alitajwa kwa tuhuma basi sio tiketi ya kumtuhumu kwa uongo lazima watu wapige kelele.

Hii inaonyesha kuwa wapinzani hawana chuki binafsi walimpinga alipokosea wanamtetea anapoonewa.
Alipokosea lini alihukumiwa.. Hakuwahi kuhukumiwa ndio maana hajajifunza.. This time amepata somo
 
Ni raha sana ukiwajulia hawa watu,
Wao huenda kinyumenyume tu!
Endapo leo serikali ikatangaza madawa ya kulevya hayapo tena, wao watapiga kelele na kusema yapo na ikiwezekana watatangaza majina hadharani.

Hawaeleweki nini wanataka au nini malengo yao.
Ni kama vile una watoto wanaotaka chochote waonacho mbele ya macho yao.
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
First thing first, be clear, articulated and detailed.

Who are you talking about? What are you talking about? Where is your logic? Where is your nuance?
 
Back
Top Bottom