Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
- Thread starter
- #281
Mbona imechangiwa sana, bora usingesema hujaielewa, kuliko kuwasemea wengine. Labda tu mwenye thread, amesahau na hela za kwenye bag kule Dodoma.
Zilishawekwa mkuu
Mbona imechangiwa sana, bora usingesema hujaielewa, kuliko kuwasemea wengine. Labda tu mwenye thread, amesahau na hela za kwenye bag kule Dodoma.
Ajiulize pia hao watu waliingia TZ au vibali vyao vya kazi vilikwisha wakati Manji ameachia uongozi wa kampuni au kabla wakati yeye akiwa kiongozi?Ndo jiulize hao aliowachia madaraka wapo wapi?
Wewe usiongopewe quality group Manji ndo kila kitu Yale mengine maigizo tuuAjiulize pia hao watu waliingia TZ au vibali vyao vya kazi vilikwisha wakati Manji ameachia uongozi wa kampuni au kabla wakti yeye akiwa kiongozi?
Thanks,waache kuunga unga kesi waseme hasa nini kosa lakeKumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?
Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.
Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.
Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Watz hata kabla ya kutajwa mlishawahi kunuhusisha Manji na MadawaKupaza sauti tu haimaanishi kuwa mtu huyo tayari ni mhalifu. Mara nyingi watanzania huwa tunasahau kuwa mahakama ndiyo mamlaka pekee inayoweza kusema mtu fulani ana hatia juu ya tuhuma alizokuwa anatuhuniwa nazo.
Kama Manji alituhumiwa hata kwa tuhuma 1000 lakini kama hakushtakiwa na kama alishtakiwa mahakama haikumpata na hatia basi huwezi kuwaambia watu wanafiki.
Kuhusu madawa nadhani Manji keshaapa ataenda mahakamani na suala la Quality Group kuajiri raia wa kigeni bila vibali, Uhamiaji wamesema watapeleka mashitaka mahakamani.
Sasa tusubiri uamuzi wa mahakama ili tuone mwenye hatia na itajulikana kati ya wanaoshangilia au kunung'unika kukamatwa kwa Manji, ni kina nani wanafiki?
Hakuna mashtaka ya kuunga unga kila shitaka linajitegemeaKwa nini saaa watafute vijisababu vya kuungaunga?, mara madawa mara wahamiaji haramu .wawe wawaZi kuliko hizi danadana
Makosa yake ni mengi, we subir siku ya yeye kupelekwa mahakamaniThanks,waache kuunga unga kesi waseme hasa nini kosa lake
Manji ametumia pesa zake kurubuni watendaji wa serikali, he is a big pocket, ni vyema kumhold yeye kwanza, mengine yatafuataKama tumeamua kufukua makaburi basi tufukue yote na kamwe lisibaki jiwe juu ya jiwe.mim najua nchi hii imeanza kua na serikali huru toka mwaka 1961 kwaiyo kama kuna sijui ufisad,mara madawa yakulevya,mara wahamiaj haram namatakataka mengine yote sidhani kama serikal haijui au haiwajui wahusika na pia hili la manji sidhani kama manji aliyafanya ayo yote wenyewe na bila system kujua ndo maana nashangaa wengine wanavyonyooshea wenzao kidole had mishipa ya shingo inawatoka kana kwamba wao ni wasafi sana.kwaiyo kama kweli tuna dhamira ya dhati yakunyoosha nchi basi lisisalie jiwe juu ya jiwe vinginevyo ni unafiki na sanaa tupu.kama tunaamua kuanza upya na tuanze upya bila kuacha shaka yoyote maana bila kufanya ivyo tutatengeneza mambo yatakayokuja kutusumbua kama taifa na ata kama sio sisi basi wajuu zetu.
Hata yeye aliwahi kutengeneza mashtaka ya kuunga unga dhidi ya Beno Njovu, who raised his voiceKwa nini saaa watafute vijisababu vya kuungaunga?, mara madawa mara wahamiaji haramu .wawe wawaZi kuliko hizi danadana
Kigali= kibaliHuwezi ukamshutumu mtu eti ameajiri wafanyakazi wasio na Kigali nchini akati alikwishA staaf since January 2016 and jaman mbona shule watu wameenda there is a difference btn company and sole company ts stand like a human when it's come to ownership owners or shareholders wanakuwa hawahusiki kama kuishtaki unaishtaki kampun na sio owner huu n unyanyasaji wazi wazi watanzania hatupumbazwi now days qengi wamesoma ata uelewa tunao
Nafikiri kingereza umejifunza ni lugha ya tatu kwako!Naomba nikurekebishe kingereza kidogo.
Ungeandika hivi. .
"Do you have any evidence..? "
We una hakika gani kama Gwajima msafi? Au Wapinzani sisi ni wasafi... Tuache siasa tumjadili Manji. We unajuwa kwamba chadema wana server ipo Kazakhstan walitaka kutumia mwaka jana, system ikawahi kui bypass... Jaman acheni siasa hapa tumjadili Manji ana usafi wa kupigiwa kelele hivi... Unajuwa keshawalaza watu wangapi polisi kwa kutumia pesa bila sababu... Muulize Beno Njovu.
View attachment 470872
Mods naomba msaada wa kubandika hizo emails kwenye main post
Huyu anatakiwa anyongwe haiwezekani wananchi wa kawaida anakula mlo mmoja kwa siku we mtu mmoja unahela ya kuendesha bajeti ya serikalikwa miaka hata mitano halafu hela zenyewe unaenda kuzificha kuzitakatisha ....hii nchi ni ya kijamaa jamani usituletee ubebari hapa.Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?
Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.
Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.
Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Hongera kwa kuokoa kizazi hiki....Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Well saidHuyu mbwa anatakiwa anyongwe haiwezekani wananchi wa kawaida anakula mlo mmoja kwa siku we mtu mmoja unahela ya kuendesha bajeti ya serikalikwa miaka hata mitano halafu hela zenyewe unaenda kuzificha kuzitakatisha ....hii nchi ni ya kijamaa jamani usituletee ubebari hapa.