Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,808
Mtoa mada hebu fikiria kua isipowekwa waislam watapiga kura ya hapana,je unadhani nani atakua mshindi?
Usiogope haitawekwa,bunge hilo naona waislam ni wengi ila uzuri wao hawana sauti,ni watu wa kulalamika na kutusihi na kutuomba wakristo wachache waliopo ndani ya bunge wawaruhusu wawe na mahakama ya kadhi.
Kwa ufupi ni kua jambo lolote waislam wakitaka kufanya ni lazima watuombe ruhusa sisi wakristo bila kujali idadi yetu hata kama sisi ni wachache kuliko wao. Ni jambo zuri kwa kweli.
Du afadhali ya LOW DISK SPACE kuliko Virus infected mental files. Maana hapa tutukesha hamuelewi!
mbona mmeshindwa kuianzisha?. au mpaka tuwakubarie sisi makafiri?
Hakuna ubabe hapa waislam wanadanganywa na waarabu wa huko UAE kwamba wakiamua lolote eti litawezekana huo ni utoto, kwanza tunataka kujua umuhimu wa hiyo mahakama kuingia kwenye katiba, je isipoingia kwenye katiba hizo sheria za maadili ya kiislam hazitaeleweka?
Mbona ndoa zinazofungwa kiislam zinafungwa na hao viongozi wa kiislam sasa wanashindwa nini kutatua migogoro ya ndoa wakati waliweza kuzifungisha?
Tanzania ni nchi NEUTRAL haina kuegemea upande wa dini yoyote, hakuna dini iliyotajwa sehemi yoyote kwenye katiba na tunataka iendelee hivyo hivyo ili tusianze kubaguana kwa dini wala kabila kama huko Kenya wanavyofanya.
Hizo takwinu umezitoa wapi? Jua kuwa watanzania wengi hawana dini za kikristu au kiislam sasa kama mtaweka mahakama zenu za jadi nasisi tinataka utawala wa machifu uwekwe kwenye katiba ikiwemo na mahakama za kimila/jadi/ za kikabila/ kiukoo hafu tuone kama hizo mahakama zenu za mwazo zitapata watu
mm nashindwa kuelewa wanasema mahakama ya kadhi ni ya kuwagandamiza wanawake lakini bado wanawake wanaipigia kelele wanaitaka mm sioni umuhimu wake
Kwanini hii mahakama ya kadhi ni lazima iwepo kwenye katiba?
Mbona bank kuna sharia accounts na serikali haijamuuliza mtu, kama hiyo mahakama ni sehemu ya maadili ya dini yenu basi anzisheni bila kudai iwepo kwenye katiba, katiba ni mali ya watu wote ndio maana hatutaki impe favour mtu yeyote wala dini yoyote
Dini zote zifanye mambo yake kwa mipangilio yao bila kuvunja sheria za nchi wala isiwakwaze watu wengine kila mtu ana imani yake.
Ikiwemo kwenye Katiba, wewe inakupunguzia nini !?
Sharia Account katika Mabenki ile ni 'product' ! Inaweza kuwepo au isiwepo. Benki yeyote ina hiari kuanzisha au kuifuta kama walikuwa nayo bila kumshauri au kumshirikisha yeyote !
Pamoja na hayo, Sharia Account inakuonyesha dalili ya kuwa sheria za Kiislaam si za kubeza bali ni mambo halisi yanayoweza kufanyika na yakawa na tija bila hasara wala usumbufu bali faida kwa pande husika.
Kama mambo ya kadhi ni IBADA, kuna sababu gani ya kuhitaji polisi amlazimishe muumini kufanya mambo ya ibada?Kwa nini na nyinyi mnashupalia isiingizwe katika Katiba !?...........mnapoteza nini !?
...Kadhi akitoa hukumu yake kuhusu hao watoto kupata au kukosa mirathi, hiyo hukumu inaweza kukaziwa na Taasisi za serikali kama Polisi na Magereza !? Chuma Chakavu
Hao wengine kama wapo, hiyo ni shida yao. Ila sisi Waislaam kwa umoja wetu tunataka Mahakama ya Kadhi.
Kuomba kwao au kutokumba au uwepo wao hauna uhusiano na madai yetu ya Mahakama ya Kadhi.
Kila binaadam ana kiwango chake cha uvumilivu,na ipo siku manyanyaso haya yatazidi na uvumilivu utakua mwisho wake hapo basi ndipo zitakapo ibuka twigahalal. Na baada ya twigahalal ndipo itakapo patikana heshima na amani ya kudumu.
Mtoa mada hebu fikiria kua isipowekwa waislam watapiga kura ya hapana,je unadhani nani atakua mshindi?
Usiogope haitawekwa,bunge hilo naona waislam ni wengi ila uzuri wao hawana sauti,ni watu wa kulalamika na kutusihi na kutuomba wakristo wachache waliopo ndani ya bunge wawaruhusu wawe na mahakama ya kadhi.
Kwa ufupi ni kua jambo lolote waislam wakitaka kufanya ni lazima watuombe ruhusa sisi wakristo bila kujali idadi yetu hata kama sisi ni wachache kuliko wao. Ni jambo zuri kwa kweli.
Hao wengine kama wapo, hiyo ni shida yao. Ila sisi Waislaam kwa umoja wetu tunataka Mahakama ya Kadhi.
Kuomba kwao au kutokuomba, au uwepo wao, hauna uhusiano na madai yetu ya Mahakama ya Kadhi.
Kukosa Elimu kazi sana tofautisha neno Hadithi la kiarabu na neno hadithi la liswahili,neno hadithi limepatikana kutoka kiarabu,lakini kwenye kiswahili limeafisriwa kivingine.Hadithi za Mtume kwa kuilewa vizuri ni kwa kiingereza,imetafsiriwa Tradition.Usichukulie neno hadithi( lililotafsiriwa sivyo)na hadithi za mtume(Prophet Tradition)Kumbe unapenda kuolewa? Naomba nikuoe uwe mke mdogo
Sheria nzuri ni hii ya kuoana wanaume kwa wanaume kama hawa wa viongozi wa dini fulaniMpumbavu mimi au wewe unaeng'ang'ania the law of idiocy na kufuata mkumbo as if you think by your bo...m. Kazi ya mahakama ya kadhi ni kusimamia sharia, means there is no way unaweza kuwa na Kadhi bila ku lure a Sharia law we boya usiyetaka kuelewa.
Bora huku mnakolewa na wazungu,wanaume mwaolewa,kazi ipoMuslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution of Tanzania
Bora huku mnakolewa na wazungu,wanaume mwaolewa,kazi ipo