Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

'Sifa njema zote ni za Allah aliyeumba mbingu na ardhi, na akafanya giza na mwangaza. Tena baada ya haya walio kufuru wanawafanya wengine sawa na Mola wao Mlezi.

'Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali (kifo), na muda maalum (Kiama) uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi (makafiri) mnatia shaka.

'Na Ndiye Allah mbinguni na ardhini. Anajua ya ndani yenu na ya nje yenu. Na anajua mnayoyachuma.

Qur'an: 6:1-3
 
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

Mungu wa Injil anaitwaje !?

Wa Tourat anaitwaje !?

Na wa Zaburi anaitwaje !? TanzaniaLaw
 
Last edited by a moderator:
'Na lau tungekuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangalisema waliokufuru; Haya si chochote ila ni uchawa dhaahiri.
Qur'an: 6:7.

Chuki zitakutoa mimba ndugu !

'Na hapana mnyama katika ardhi, wala ndege anayeruka kwa mbawa zake mbili ila ni umma kama nyinyi (binaadamu). Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa.
Qur'an:6:38

I don't believe in the Quran.

Thank you Muhammadan. ARE you happy now?

If Allah is God, can you show me the ayat that says Muhammad was circumcised?

...........so what !?
 
Mahakama ya kadhi inakuhusu nini? Mahakama ya kadhi inakuja kuondoa ukristo? Mahakama ya kadhi inahusu wa islam na uache kiherehere ya kufata wa islam. Kama unaona wa islam watafaidika na mahakama ya kadhi basi na nyinyi muombe mahakama ya kikristo. Na uache wivu wa kijinga kwa vile nyie hamna mahakama basi na wa islam wasipewe.
Mkuu hakuna anayepinga Mahakama ya Kadhi, isipokuwa watu wanapinga mfumo wa kiuendeshaji unaopendekezwa. Kwanini serikali iendeshe chombo cha Kiislamu kwa kodi za Watanzania wote wakiwemo Wakiristo na Wapagani?

Waislamu wanashindwa nini kuunda mahakama hiyo na kuiendesha wenyewe kama Taasisi nyingine za Kiislamu?
 
As long as mnataka iingizwe kwenye katiba ya wote basi lazima ituhusu. Mngelimaliza ili janga misikitini hakuna. asiye muislamu angeuliza. Muwe mnatumia akili sio kumeza kila sheikh anachosema.
Well said...
 
..........wewe ungetumia akili, usingekubali 'watu' wamuue mwana mungu wa pekee ! :A S-eek: matumbo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna anayepinga Mahakama ya Kadhi, isipokuwa watu wanapinga mfumo wa kiuendeshaji unaopendekezwa. Kwanini serikali iendeshe chombo cha Kiislamu kwa kodi za Watanzania wote wakiwemo Wakiristo na Wapagani?

Waislamu wanashindwa nini kuunda mahakama hiyo na kuiendesha wenyewe kama Taasisi nyingine za Kiislamu?

Waislaam wao Kodi zao huwa wanalipa wapi !?? grafani11
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

..........Allah SWT ana apa juu ya vitu alivyoviumba kwani vinathibitisha nguvu zake
Pata Darasa hapa TanzaniaLaw Jabulani Eiyer Echolima na Wagalatia wengine kadhaa !

'Sema:Allah angeliufanya usiku umekukalieni moja kwa moja mpaka siku ya Kiama, mungu gani asiyekuwa Allah atakayekuleteeni mwangaza ? Basi je, hamsikii ?

'Sema: Allah angeliufanya mchana umekukalieni moja kwa moja mpaka siku ya Kiama, mungu gani asiyekuwa Allah atakayewaleteeni usiku mkapumzika humo ? Basi, je hamuoni !?

'Na ni nani katika fadhila zake amekufanyieni usiku na mchana (ili) mpate kupumzika humo na mtafute fadhila zake, na ili mpate kushukuru.

Qur'an; 28:71-73.

'Naye ni Allah, ambaye hapana mungu isipokuwa Yeye. Sifa zote Njema ni zake Yeye. Mwanzo (alpha) na mwisho (omega). Na Hukumu (ya Kiama) ni yake Yeye. na kwake Yeye mtarejeshwa.

Qur'an: 28:70.
 
Haya ni maneno ya nani?
 
Allah is copying Jesus in everything. Jesus said He is Alpha and Omega 700 years before Allah.

The God of Islam has two other names. "AL-AWAL" and "AL-AKHER." In English we say, "I am the Alfa-I am the Omega." (I am the First and I am the Last.) Isaiah 41;4 says, "I, the Lord-with the first of them and with the last-I am He." Also the book of
Revelation 22;13 says, "I am the Alpha and the Omega, the First and the Last, the Beginning and the End." Jesus is the AL-AWAL and Jesus is the AL-AKHER. Muslims there are no any option or excuse to refuse this truth. You have to accept Jesus as your "Allah."

According to your own Quran, Jesus is Allah.
 
........ungejibu hilo swali langu kabla !.....sasa mbona unatatarika kama bisi !?

Lete Injil ya Yesu hapa !?
The Gospel of Jesus is vividly and conspicuously annexed in the infallible Bible, inter-alia, it is impeccable exhibited by Matthew, Mark, Luke and John respectively.
 
Prophet Muhammad was born already circumcised, and with his umbilical cord already cut off. Echolima

It is okay to tell a lie. In fact, telling lies is islamic.

Now, give me the verse to support your annexed claim. I have no need to try to imagine what some other intelligence or thought is thinking. I do my own.
 
Back
Top Bottom