Kuhusu kufuta Comment

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
21,126
24,062
Wakuu khabari zenu wakuu. Mko salama? Naomba kujua endapo nahitaji kufuta comment(s) hapa JF.

Mfano nimemuuzi mtu kwenye comment na hajapenda kile nilichoandika je nikifuta ile comment, itaondoka moja kwa moja kwenye server za jf? Na je mtu mwingine akiingia JF ataweza kuisoma ile comment?

Naombeni kujua wadau maana kuna suala nimezingua.

Asanteni sana.
Cc @Chief_Mkwawa @Modarators
 
Back
Top Bottom