Kuhusu kitunguu saumu

Kweli mkuu... kuna dr. sebi nataka nianze kumfatilia ni mtaalamu wa mitishamba
na kama upo mtandao x mtafute chief herbalist utagundua mengi na kujifunza mengi kwa mimea inayokuzunguka.

pia humuhumu kuna uzi wa tiba kutokana na mimea inayotunguka. itakusaidia na utamrudishia Mungu sifa na utukufu siku zote za maisha yako kwa kujiokoa na mengi.
 
Hii kwa sisi ambao tupo ktk industry ya construction inasaidia?, unaweza kupigiwa simu za kazi hata nne,unafunga safari unaandaa hesabu za kazi,unampa bosi ukisubiri kuitwa kufanya ile kazi,mara kimya miezi inapita hauitwi tena,inaumiza.
 
Utapeli mtupu
Vile vitu vina mazindiko mazito ya ulinzi siyo mambo mepesi kama watu wanavyo fikiria. na ndo maana hata pesa yake usipo iwai kwa kuilinda hupotea katika mazingira tatanishi either kwa kujua au kutokujua. na ulinzi huwa ni mwepesi pindi ukiipata ila kutimiza ndo kipengele kingine(pindi uipatapo kamwe usithubutu kuanza itumia kwenye anasa mana ile moja ya njia yao kuitudishia na ukianza ni mpaka iishe ndo unashtuka😅 bali toa fungu la kumi kwa Mungu alafu iombee na kuilekeza kwenye kitu muhimu kama ujenzi au biashara ikizaa ndo uanze matumizi tofauti na hapo utabakika story tu niliwai kushinda hii amount ila sijui nilifanyia nini)
 
Amen... kama utauquote itapendeza sana.
 
Vp kama nikikamta nyoka na kumtoa sumu na meno nikawa nalala nae vp pesa itakuja?
 
Hii nilikuwa siijui mkubwa wa kazi umenipa ziada nyingine, nashukuru Mungu kaka nimekaa sana na vichwa toka congo kuna baadhi ya madini wale broo's wanaku bless mi nashangaa sana huku kwetu ukisema kitu wanasema ulozi congo hata wasabato kule wanatibika wao waamini sasa wakatae wenyewe mkuu mshana miaka ya nyuma sana uliweka nyuzi ya ishu ya chumvi ya mawe ila wapo walitubu ... Tiba zipo ni basi tu kwasababu bandiko wanaandikwa na waafrika.

Kesho akiandika yule m Britain mnayekubali kisa vaccine mtacomment humu kama vichaa ila mshana mmh?
 
Mshana Jr Kwanza nashukuru umerudi kwenye mambo ya asili kuna kipindi ulitutishia kuacha na kuhamia kwenye dini za wazungu tukaogopa.

Naomba unijibu maswali matatu

1.Chumvi ya mawe nachanganya na maji ya baridi au ya uvuguvugu?

2.Je naweza kuogea sabuni then ndo nikaoga huo dawa?

3.Kuhusu punje ya kitunguu saum kuflas unajua tuna shida ya maji matank ya vyoo hayana maji.Naweza kuflash Kwa KUMWAGA maji kawaida?

Imefika muda ufungue PM yako sasa.
 
Nice
 
Hii kwa sisi ambao tupo ktk industry ya construction inasaidia?, unaweza kupigiwa simu za kazi hata nne,unafunga safari unaandaa hesabu za kazi,unampa bosi ukisubiri kuitwa kufanya ile kazi,mara kimya miezi inapita hauitwi tena,inaumiza.
Hiyo inaitwa mapooza
 
(3,991) Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu | JamiiForums Tanzania https://share.google/HFNIimHW7sZvIFkML
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…