Kuhusu kitunguu saumu

Vipi nikiwa na Karafuu ya unga
 
Kwenye vyoo hivi vya kupanga au Choo cha city au lazima kiwe ni Nyumbani kwangu?
 
Wala huhitaji majani..Fanya hivi..chukua chumvi ya Mawe kwenye kiganja cha mkono changanya na maji angalau kuanzia Lita 10.. oga kabla ya kwenda kulala..halafu njoo hapa utoe ushuhuda.
 
mchanganyiko maarufu unaotajwa kusaidia kukabili tatizo la kukosa usingizi (insomnia) pamoja na kuleta utulivu wa mwili ni majani ya mpera yakichemshwa pamoja na kitunguu saumu.

Vilevile, baadhi ya watu hutumia mchanganyiko wa majani ya mparachichi au majani ya mchaichai kutokana na uwezo wake wa asili wa kutuliza mfumo wa neva na kupunguza msongo wa mawazo.
 
Mganga vp huwezi kua na dawa ya kutengeneza pesa uku ukiwa umelala Mshana Jr
Kukwambia ukweli wa mambo, hakuna dawa ya miujiza au ya kishirikina inayoweza kukutengenezea pesa ukiwa umelala.
Story zote za kupata utajiri wa haraka bila kufanya kazi yoyote (kama vile ramli, ushirikina, au miradi ya upatu) mara nyingi ni utapeli unaolenga kukuacha ukiwa maskini zaidi.
 
Asante ivyo nakunywa au naogea? na pole sana mana nimekuandama na maswali na Asante sana kwa msaada wako kwa haya maarifa. Alafukumbe hii insomnia mh mh baai ni mbaya mana nijuavyo huleta magonjwa mazito yasiyo ya kuambukiza usipotibu haraka, pia huzeesha haraka kuliko maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…