Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
Uncle Mungai?
do you have problem with that?...
Uncle Mungai?
do you have problem with that?...
Mungai=fisadi
you, niece Mungai=little fisadi by extension....mmmhhhh.....
Sijui umepata wapi hizo takwimu zako but as far as i knw he is not a fisadi and me i am just an independent woman who is working hard to meet her ends.
Katika mawaziri walioboronga wizara ya elimu huyu jamaa alizidi mno nakumbuka aliunganisha Physics na Chemistry likawa somo moja
arooo linani hilo limefuta comment zangu?
Ni rimwanakijiji hilo limehamishia huko kwenye Snow day!
aisee i hate rimwanakijiji....
hehehehe...mwulize mwanakijiji kuhusu rafiki yake Mpilipili na sakata la Butimba...? that was classic....
Yaani Mungai na sura lake baya namna ile anapata totozi na tena kuku wa kienyeji ?
Mi namfahamu tangu 1970 alikuwa Handsome boy enzi hizo hakuna kipara wala nini.
Mashavu na Dimpozi vyote vilukuwa Swanu kabisa.
Ndo hivo tena Kesha.
duh aisee kumbe wewe kidingi eeeh....ee bana eeh duh
Sikuwa mkubwa nyakati hizo nilikuwa na miaka 7 tu.
Nilimwona wakati akipiga Kampeni za Ubunge kwa mara ya kwanza huku kauramba shati la Haki ya Mungu( Lile lisilo na kola)
That makes you 45 years old now...maana kama ulikuwa 7 years 1970 do the math.
You are right. That is my age.
You are right. That is my age.
Kwa hiyo hiyo avatar yako ndio picha yako utotoni au? lol.....halafu imekaa ki madela wa madilu yaani duuh
LOL!....what if?