Kuhusu Joseph Mungai

Kuhusu Joseph Mungai

Haya makaburi mengine yanatisha. Ukifukua mchanga wa kurudishia hautoshi
DAWA YA KABURI NI KULIJENGEA NA IKIWEZEKANA UNAJENGA NA KA MNARA KAMA LILE KABURI LA NYUNDO PALE LUNDAMATWE FAIDA YAKE WANAOHUSIANA NA MAREHEMU WAKIONA MAMBO YANAWAENDEA SIVYO WATAKWENDA KUSEMBUA KABURI KWA HIYO CCM WAACHENI WASIFUKUE ILA TUKIWABANA UTAONA WANAKWENDA KUSAFISHA AU KUSEMBUA ILI MAREHEMU AKAWAPIGIE MZINGA KWA MUNGU
 
Mungai ni mmoja wa matajiri wenye rasilimali kubwa hapa nchini. Kama ni Marekani labda kuhamishia tuu hiyo nyumba ndogo na yeye kuendelea kwenda kulamba tuu asali ila mzinga amechongea Mufindi Tea Estate na TATEPA. Jamaa anaijua hela, ni jeuri na kiburi cha kina Mkwawa, ni bora afe kuliko kuikimbia nchi.

Pia kwa Mungai ninayemfahamu mimi ni mzee wa Totos dogodogo kuku wa kienyeji, akihamia huko Marekani kuku hao apate wapi?.
Shikamoo Brother Pascal
 
Nenda, Nenda, Nenda, Nenda Mungai. Nenda Mungai. Msalimie Balali. Mwambie Mgonja naye yupo Keko. Mwambie Mramba kadhaminiwa na wachimba madini. Mwambie Yona kumbe ni mwizi mkubwa kuliko yeye Balali, nyumba ya Yona tu ina thamani ya bilioni 2! kajidhamini mwenyewe!. Mwambie Balali hajakomaa, ameogopa bure. Mwambie Keko kuna VIP rooms. Mramba hakutaka kutoka Keko maana kuna kila kitu. Hata DSTV ipo! Mwambie Balali kuwa wewe umekimbia kwa sababu ni Mkenya. Hivyo "you are on transit" kurudi kwenu Kenya. Ila sasa umeona noma kwenda Kenya moja kwa moja kwa sababu ya kuundwa upya East African Community. Mwambie Balali kuwa mkeo mtanzania umemuacha - karudi kwao Iringa. Nenda, nenda Mungai. Wewe si mwenzetu. Tuache tule nyasi zetu alizotuambia Mramba. Nenda Mungai, Nenda, Nenda, ila utakoma. Mzimu wa Baba yetu maskini Nyerere utakuandama. Mwizi wewe.
The politics of 2005 - 2010 when Jakaya and Lowassa takeover
 
Mkuu Mwalla, mtu akiishatangulia mbele ya haki, sio busara kuanza kufukua makaburi ya watu walisema nini huko nyuma. Tuzunguzie mazuri tuu ya merehemu.

RIP Joseph Mungai.
Paskali
hii ni sawa na kumchekea alafu akikupa kisogo unamng'ong'a
 
Jamaa alimiliki karibu rasilimali zote za Mufindi!! RIP
 
Back
Top Bottom