Kiungani
JF-Expert Member
- Feb 2, 2007
- 274
- 71
Kuna nyepesi nimezipata kuwa Waziri mstaafu Mzee Mungai (Mbunge wa Mufindi) yuko katika mchakato wa kuihamisha nyumba ndogo yake na watoto wawili kwa hiyo nyumba ndogo kwenda kuishi Marekani. Hiyo nyumba ndogo ni binti wa kimanga/kihehe anaitwa Wahida Mohamed, na watoto wake ni Sandra na Jacoby walio na umri wa miaka 10 na 7.
Mtu aliyenipa taarifa hizi juzi jumatatu, aliniambia kuwa Mungai atatangulia Marekani (Houston, Texas) na atafuatiwa na family yake baada ya wiki moja. Mungai ni kweli ameondoka hapa Bongo kwa KLM alhamisi Dec 18 usiku kimya kimya, na hakumuaga hata mke wake wa ndoa ambaye aliondoka Dar jumatano kwenda Mafinga - Iringa kwa Christmas.
Mtoa taarifa anasema aliona maombi ya visa za USA kwa hao watajwa wanne na yalikuwa na reference numbers: B1O810F1M3, R1OE21QIDQ, H1O812DI5B na F1O80XYPS9, na interview yao ilipangwa kuwa jumanne Dec 16 asubuhi. Hajajua kama wote walipata visa au vipi.
Nimejaribu leo kumtafuta kwa simu Mungai kupitia number zake mbili bila mafanikio.
Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.
Sijapata nyeti zo zote kama kuna upelelezi wo wote unaendelea katika mojawapo ya hizo tuhuma hapo.

Last edited by a moderator: