kuhusu confirmation code awamu ya pili

kuhusu confirmation code awamu ya pili

Iv mpka time i kna mbaye bado ajapata code ??
 
msaada kuna Mdogo wangu kachaguliwa NIT lakn code hajatumiwa alafu confirmation waandika kabla ya September 6 wakati ishapita
Jamani mwenzenu st john wameandika status pending sijui Ntachaguliwa?
 
kuna jamaa aliconfrm sua anasema walmtumia regstration number joining na application letter at the same time ndugu yangu aliconfrm sua ndio walimtumia admission letter na joining lakin nilimuuliza kama wametuma pia registration number akasema hapana naomba msaada kuna tatzo hapa ?
 
Ushamtumiwa code?
walinipigia simu jana wa comfirm kama ntaenda na wakaniambia zoezi la kutuma code litaaza si mda mrefu leo wamenambia wapo wanaziandaa ni nying leo au kesho zitakua zishatumwaaa
 
Back
Top Bottom