kuhusu confirmation code awamu ya pili

kuhusu confirmation code awamu ya pili

Duh yan apa tutegemeee kupata code ata next week yan coz first round walisumbuka sanaaa ko na sisi tutasumbuka pia ivo ivo naamini
 
Kila Kitu Tanzania 2konyuma,,, Hao TCU Ukiwapigia Hawapokei Simu Na Kwenye Social Pages Zao Wala Hawajib Nadhani Wanatakiwa Wajitahmini Kwann Waweke Namba Za Cm Kama Hawapokei
 
Kila Kitu Tanzania 2konyuma,,, Hao TCU Ukiwapigia Hawapokei Simu Na Kwenye Social Pages Zao Wala Hawajib Nadhani Wanatakiwa Wajitahmini Kwann Waweke Namba Za Cm Kama Hawapokei
Yan sio TCU tu mkuu yan taasisi nyingi yan namba wanazoweka kwenye web page zao uwa n bosheni tu lakini azipokelewagi yan sisi tuvute subira tu
 
Hongera.... Mm nimechaguliwa chuo zaid y kimoj lkn kwenye list ya tcu wenye multiple selection skuwemo... Ss sielewi hat km izo code ntatumiwa
mi nimetumiwa lakn code yenyewe majangaa hai connect
 
Duh! Yn mpak kwenda huko chuoni... Kijasho kimetutoka
Hatarii sanaa me mwenyewe ht kwa list ya tcu sikuepo ila nipo multtple akat nimeona nimechaguliwa chuo kimoja tu code yenyyew haikonect afu mwisho wa kuthibitisha wanasema trh 5
 
Kuna mtu katumiwa code ambayo imekubali kuconfirm?, maana mimi yangu imekataa
 
Mwenyewe Kwenye List Ya Multiple Kutoka TCU Jina Langu Halipo Lakin Nimechaguliwa UDOM na STEMMUCO na UDOM wanataka ni confirm lakin STEMMUCO Hawajeweka Sehem Ya Kuconfirm,, Ngoja Nisubirie Code Ni Thibitishe UDOM
 
watu wa mzumbe second round kuna ambaye ameshapata code ya kuthibitisha?
 
msaada kuna Mdogo wangu kachaguliwa NIT lakn code hajatumiwa alafu confirmation waandika kabla ya September 6 wakati ishapita
 
Back
Top Bottom