Yorke
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 236
- 259
Vipo kama IAA na NITKwan kuna vyuo ambavyo bd avijatoa mkuu?
Vipo kama IAA na NITKwan kuna vyuo ambavyo bd avijatoa mkuu?
Aaaaah mbna kuna jamaa kaambiwa ety leo ndo watatuma izo codeVipo kama IAA na NIT
unashida ya code au joining letter?Confirmation Letter? Nisaidie Namba Za UDOM Zile Za Kwenye Website Hawapokei
wamesema bado wanaziandaa leo au kesho wanazaa kutumaaNaxubiria Code
walinipigia simu jana wa comfirm kama ntaenda na wakaniambia zoezi la kutuma code litaaza si mda mrefu leo wamenambia wapo wanaziandaa ni nying leo au kesho zitakua zishatumwaaaMbna xx taarfa yeyote ijasemwa na mda unaenda kwan udom walatangaza kwenye mtandao au
Wametoa Leo.... Log inSasa itakuaje na kuna vyuo havijatoa majina kama NIT? M ndo nasubir majibu huko
Zinatumwa na TCUJamani Hizo Code Zinatumwa Na Chuo Au TCU?