mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,348
- 2,777
Mbona kama hujaeleweka boss.Taasisi za umma mazoea yamezidi hiyo job security inawapa kiburi nimefurahi sana sana kwa hili la dpw , waende sasa wakafanye kazi wamezoea kubebana mtoto wa mjomba na washangazi, nilitaka kulipia kodi ya gari kuna kijana kakaa na karatasi yangu pale tra fast mwezi mzima kutoa barua tu ya mimi kulipa kodi alikuwa anajizungusha kama mungu mtu, na hata ukienda kwa senior wake ni yale yale tu, taasisi za umma kidogo magufuli aliweza kuweka uwajibikaji sasahivi ni shamba la bibi
Na nashukuru kwamba serikali imeona kwamba tuongeze ufanisi tumpe mtu aendeshe ili watu wawajibike na serikali ipate mapato yake fullstop unayepinga hili unapinga kwa faida ya nani kama sio wizi na mazoea
Likewise mwendo kasi apewe muwekezaji aendeshe hakutakuwa tena na ujinga kama huu wa sasa
Kosa ni la nani hapo?
Tumekosa serikali yenye utashi wa kusimamia taasisi zake.
Mi naona hao wengine wanaonewa tu, inayopaswa kubinafsishwa ni serikali sababu imeshindwa kusimamia watendaji wake.