Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Wewe kinachokufanya ujae mapofu ni kipi??? Imekutach ndo maana unaongea ivo, siyo???
 
Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Kachukue akili zako ulipoziacha maana mda huu kichwani kwako kuna masalo ya nyanya
 
Kwako mtoa mada,toka bei elekezi ya sukari kuwa 3000 kuna watu hawanywi chai,vipi nayo ni suicide mission?
 
Mkuu Spencer hiyo sio SUICIDE MISSION. Hiyo inaitwa HUNGER STRIKE.

SUICIDE MISSION is a task which is so dangerous for the people involved that they are not expected to survive. It can be suicide attack such as bombings, where peple involved actively commit suicide during execution of the mission.

HUNGER STRIKE is the act of refusing to eat in order to make a protest.
Or
A prolonged refusal to eat carried out as a protest, typically by a prisoner.

Kwa hiyo hapo hakuna sheria ya kumshtaki Lema. Zaidi sana atashauriwa tu aache huo mgomo kwa manufaa yake na famiilia yake, na yeye ni mbunge bado anahitajika ktk jimbo lake.
 
Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Tunasubiri kosa likamilike tumshitaki, ngoja afe kwanza then maiti yake haitazikwa hadi kesi imalizike na ikikutwaa na hatia haitazikwa hadi adhabu itimizwe dhidi yake
 
Hii yake ni slowmotion suicide na asile hadi tarehe moja september ili akalazwe adanganye alilazwa ndio maana hajashiriki maandamano,janja tu hyo maana familia yake itakuwa hospital AICC wana mhudumia nao hawatakuwepo pia zibaki familia zetu na sisi tu vipofu!
Mtu anashirikije maandamano akiwa mahabusi na mmemnyima dhamana?
 
Kabla hajajimaliza kwa njaa ahakikishe ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto inakamilika
 
Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Ingekuwa suicide nina hakika ingekuwepo njia nzuri zaidi ya kuhakikisha haiwi suicide chukuchuku. Ninyi chocheeni tu. Ukiwaka, tutaukimbia sote.
 
Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Hujui sheria wewe nani kakwambia, amegoma kula kupinga kunyimwa dhamana sasa unapo sema ni suicide mission kwa kifungu gani
 
Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
kwasababu wewe hujui sheria so shut the .....up..ukipenda kusoma soma utajua kwa nn kakataa kula na why wafungwa au watu walio mahabusu wanatumia njia ya kugoma kula....kasome then urudi kurekebisha uzi wako
 
Yeye anadai haki ya kuachiwa kwa dhamana. Lema hajaua kwa nini ananyimwa dhamana ambayo ni haki yake kikatiba?. Acheni siasa angalieni incidence.

Hii nchi tulikotoka ni salama ila tuendako mi naona giza kama haki za kikatiba zitatolewa kwa ubaguzi Mwl Nyerere alikataza.
 
Hivi mtu unawezaje HUNGER STRIKE?? Dah, eti nina njaa ila nikipewa chakula sikitaki! Aiseeeh!
Kamanda Lema ni geneus!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom