Kugegeda mara1 kwa wiki

Hafu mleta mada, kwa nin unajiita kende? Wingi wake ni makende!
Sas nahis anaogop mzgo wa kende zako!

Mtatftie style nyepes.... Tofaut na ya mende maan mzgo wa kende unamshukia wte!
 

ni kweli kaka
 
Hafu mleta mada, kwa nin unajiita kende? Wingi wake ni makende!
Sas nahis anaogop mzgo wa kende zako!

Mtatftie style nyepes.... Tofaut na ya mende maan mzgo wa kende unamshukia wte!

haaha ha haa...mzigo wa ma kende
 
Last edited by a moderator:
Panga safari ya kama mwezi hivi ili aku.miss, ukirudi atakupa mwenyewe.
Asipo acha tabia hiyo, tafuta ka.mchepuko kenye kujiheshimu uwe unajilia utamu, ukirudi home ni kulala tu.
 
Usidhani kwamba wanaume wanapenda michepuko la hasha. Kero kama hizi ndiyo zinasababisha mwanaume achepuke. Kumnyima mwenzi wako unyumba ni unyanyasaji. Suluhisho la haya yote ni kumtafuta wa kukuliwaza ambaye ukimuhitaji muda wowote unampata. Wanawake walioolewa ni kero sana wanajiona kama washindi baada ya kumaliza mbio hivyo hawajishughulishi tena na waume zao. Mzee chepuka tu hamna namna nyingine.
 
Hafu mleta mada, kwa nin unajiita kende? Wingi wake ni makende!
Sas nahis anaogop mzgo wa kende zako!

Mtatftie style nyepes.... Tofaut na ya mende maan mzgo wa kende unamshukia wte!

Hapana mzee tezidume langu la kawaida tu
 
Wakati namwanamke anasaidiwa ubo wa mmewe maana umemshinda.

Huenda mwanaume mwenyewe ndio "mchawi" . Akituliza akili mkewe anaweza kumweleza kwa maneno, vitendo au ishara
ni mahali gani huwa anakosea hadi kumfanya mke kutotaka mgegedo...
 

Ni kweli mkuu, sometimes hawa wanawake ndo wanafanya tufikirie mchepuko
 
Nijuavyo kazi ya mke ni kupika,kufua na kulea watoto.kugegedwa (kwa starehe)ni kazi ya michepuko.kugegedana mke na mume ni kwa lengo la kutengeneza watoto tu.
 
achana nae huyo mkuu!!makavu laivu.com
 

mkuu huu ni ubakaaaaaji
 

Kulipa mahari mkuu sio sababu ya kugegeda kila siku..unaweza kukuta unagegeda 24/7 hatachoka na ndo hapo mnaanza kulazimishana kugegedana ni starehe ila ukizidisha inakuwa karaha..
 
Mpeleke kwa uongozi wa dini akashauliwe au kuombewa atafikia hatua atakuwa anaomba mechi mwenyewe!
 
jikaushe usiombe gemu uone muda gani utakata hakuombi...af tupe mrejesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…