Huo ndio ukweli! SUMA JKT wapo hapa Mwanza wana mradi wa matofali, yako imara sana. Sina hakika kama nimekujibu ipasavyo au la!Hayo maneno sita ya mwisho ni chai kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
Kama ndio yale wanayopasua kwa mbwembwe nyingi kwenye maazimisho ya Siku za kitaifa basi hayafai!
Basi shughuli yako itakuwa nyepesi sanaMaji Napata Bure, Mchanga Upo Kama 5km Kutoka Site, Vibarua Hapa Sio Ghali Sana, Anko Magu Kawabana Vilivyo
Sasa kama ni hivyo mbona unashindwa kufanya maamuzi, au una hobby ya kujiongezea gharama mkuu?Maji Napata Bure, Mchanga Upo Kama 5km Kutoka Site, Vibarua Hapa Sio Ghali Sana, Anko Magu Kawabana Vilivyo
Majibu yako tu eti ni sawa na kuuliza kumtia mimba mkeo chumbani au sebleni.Kwanini Mkuu?
Kama. Una mashine ya umeme ya kwako au unakodi nakushauri upige mwenyewe,... Lakini Kama mashine ni ya mdundiko mzee, nunua tu tofali.....
Ubaya wa mdundiko ni kwamba tofali itakayopigwa asubuhi ni tofauti na itakayopigwa mchana.... Wakishachoka wanakuwaga mabwege kweli hawa mafundi.
Na ratio inakuwa sio...
Embu fafanua Mkuu hiyo laki sita na nusu.acheni stori zenu. wengi mliochangia hamjajenga kabisa au hata kusimami bado kabisa.
tofali 1000 kwa 1,100,000 lakini ukifyatua mwenyewe ni 650,000 hadi 800,000!!
Natamani kujua cost za hiyo 650,000/-acheni stori zenu. wengi mliochangia hamjajenga kabisa au hata kusimami bado kabisa.
tofali 1000 kwa 1,100,000 lakini ukifyatua mwenyewe ni 650,000 hadi 800,000!!