Kufyatua tofali au kununua, kipi bora?

Kufyatua tofali au kununua, kipi bora?

Mi naomba kuunganisha swali je mfuko mmoja wa cement unaweza toa tofali ngp?
 
Mi naomba kuunganisha swali je mfuko mmoja wa cement unaweza toa tofali ngp?
 
Mi naomba kuunganisha swali je mfuko mmoja wa cement unaweza toa tofali ngp?
inategemea na aina ya cement, ila kwa cement za Bongo usizidishe tufali 40 kwa mfuko, kwa ukubwa wa tofali unaotumika sana kujengea hapa kwetu Bongo.
 
Kununua ni bora. Kwanza huna presha za kutafuta mtu wa kufyatua, ooo mara kabania cement kaweka ratio tofauti mchanga umezidi, umakini wa kuyamwagilia.
Nakushauri nunua, tena kama uko sehemu ambayo SUMA JKT wana huo mradi basi nunua kwao, tofali ni chuma, mafundi wakiligonga linatoa cheche za moto
Wewe lijamaa kwa fix balaa,
'Tofali ukiligonga linatoa cheche'
C-mon! Sio Mchanga bweleleeee,
Demo zao kwenye sherehe za Uhuru si huwa wanazivunja hizo tofali zao kwa mikono?
 
1-upatikanaji wa maji
2-gharama za mchanga
3-gharama za cement
4-ratio per bag
5-usimamizi
6-eneo.
Sasa ukizingatia hayo utaona kama unapata unafuu au la.
 
Wewe lijamaa kwa fix balaa,
'Tofali ukiligonga linatoa cheche'
C-mon! Sio Mchanga bweleleeee,
Demo zao kwenye sherehe za Uhuru si huwa wanazivunja hizo tofali zao kwa mikono?
Ahsante kwa ku reply kwenye comment yangu
 
acheni stori zenu. wengi mliochangia hamjajenga kabisa au hata kusimami bado kabisa.

tofali 1000 kwa 1,100,000 lakini ukifyatua mwenyewe ni 650,000 hadi 800,000!!
Tena zinakua na ubora lazima wajue kutofautisha maziwa ya kukamua mwenyewe kwa ng'ombe na ya kununua kwa mangi lita tano inaongezwa maji inazalisha litatano nyingine = faida
 
Habari Ndugu, Naomba Kupata Ukweli Hivi Nitaokoa Kiasi Gani Ninapoaamua Kufyatua Mwenyewe Tofari Au Kununua.
Ningekushauri ni bora ufyatue mwenyewe utasave kama Tshs 200 kwa kila tofali... Ila muhimu kusimamia mwenyewe na wewe ndiyo uwe msimamizi.

Mfuko 1 wa cement unaweza kutoa tofali 35-45
Fundi analipwa Elfu 4-6 kwa kila mfuko 1 haijalishi kama kaja na msaidizi
Maji kama ya kununua ni elfu15 kwa simtank la 1000lita.
Mchanga chagua mlaini sio wa kujengea.
 
We jamaa nakufananisha na yule mbunge Suleiman Bungala a. k. a Bwegeeee mzee wa maji
Tena Hata Sule Bwenge Ana Ahueni, Hili Jamaa Gentamycin Ni Makinikia Kabisa, Kila Wakati Analeta Jokes Hata Kwenye Hoja Za Maana, Wenzako Tunataka Kujenga Wewe Unaharibu Flow, Utaishi Kwenye Nyumba Ya Urithi Wewe, Watoto Wako Hadi Vitukuu
 
Ningekushauri ni bora ufyatue mwenyewe utasave kama Tshs 200 kwa kila tofali... Ila muhimu kusimamia mwenyewe na wewe ndiyo uwe msimamizi.

Mfuko 1 wa cement unaweza kutoa tofali 35-45
Fundi analipwa Elfu 4-6 kwa kila mfuko 1 haijalishi kama kaja na msaidizi
Maji kama ya kununua ni elfu15 kwa simtank la 1000lita.
Mchanga chagua mlaini sio wa kujengea.
Maji Napata Bure, Mchanga Upo Kama 5km Kutoka Site, Vibarua Hapa Sio Ghali Sana, Anko Magu Kawabana Vilivyo
 
Kununua ni bora. Kwanza huna presha za kutafuta mtu wa kufyatua, ooo mara kabania cement kaweka ratio tofauti mchanga umezidi, umakini wa kuyamwagilia.
Nakushauri nunua, tena kama uko sehemu ambayo SUMA JKT wana huo mradi basi nunua kwao, tofali ni chuma, mafundi wakiligonga linatoa cheche za moto
Hayo maneno sita ya mwisho ni chai kabisa.
 
Back
Top Bottom