Kufyatua tofali au kununua, kipi bora?

papiso

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
390
250
Kuna faida na hasara ktk yote mawili ila kununua tofali ni bora zaidi ila zingatia ubora wa matofali
 

papiso

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
390
250
Kama unahitaji matofali mengi sana let say kuanzia matofali elfu kadhaa kufatua mwenyewe tena kwa kukodi mashine it better choice ila ni lazima usimamie mwenyewe katika ubora wa mchanga cement maji ya kumwagilia na storage ya hayo matofali ukishindwa hapo utaingia hasara kubwa
 

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,770
2,000
Habari Ndugu, Naomba Kupata Ukweli Hivi Nitaokoa Kiasi Gani Ninapoaamua Kufyatua Mwenyewe Tofari Au Kununua.
inategemeana na upatikanaji wa rasilimali na vifaa vya kufyatulia tofali, nguvukazi (vijana wa kufanya kazi) na muda wa wewe kusimamia zoezi zima la ufyatuaji. ila kununua pia sio mbaya kama huna muda wa kusimamia mradi wako.
anayefyatua anakuuzia kwa faida so kama unaweza fanya mwenyewe utasevu zaidi na una uhakika wa ratio ya mchanga-saruji (uimara wa tofali)
 

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,895
2,000
Kununua ni bora. Kwanza huna presha za kutafuta mtu wa kufyatua, ooo mara kabania cement kaweka ratio tofauti mchanga umezidi, umakini wa kuyamwagilia.
Nakushauri nunua, tena kama uko sehemu ambayo SUMA JKT wana huo mradi basi nunua kwao, tofali ni chuma, mafundi wakiligonga linatoa cheche za moto
 

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
11,342
2,000
Ni watengeneza tofali wachache mno wanatengeneza tofali bora, wengi wao ni usanii tupu, kama kuna uwezekano wa kupata tofali nzuri..nunua,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom