StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,751
- 8,097
Pakigeuka pachungu utatoka?True brother yaani tunabaki kuwaonea wivu maana walipo hatupo wanapiga parefu haswa..mimi nina rafiki yangu imagine nimegraduate nae mika 8 tu iliyopita sasa napiga nae story ananiambia anajenga apartment 10 kwa pamoja imagine huku mimi nikijiangalia napambana na kibanda cha kulalia huu mwaka wa 4 hata sioni kama nitamaliza hivi karibuni..
Ukweli niliojifunza tusichukue kila ushauri wa watu isee serikalini kutamu sana lazima nirudi kwa namna yeyote ile. Kwa sasa ni patamu haswa..