Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,622
- 28,562
Ebu weka picha basi za hiyo mijengo.Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.
Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.
Na tukienda hivi mpaka 2030..
Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.
Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..
Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye taka kuachilia mereji wake upotee.. We'll keep rambling while those in the system create generational wealth.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Isije ikawa kama mjengo wa Heche ambao hata Mimi mmachinga ninao