Kufuru ya awamu hii haijawahi tokea

Kufuru ya awamu hii haijawahi tokea

Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.

Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.

Na tukienda hivi mpaka 2030..

Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.

Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..

Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye taka kuachilia mereji wake upotee.. We'll keep rambling while those in the system create generational wealth.

Kila mtu ashinde mechi zake.
True brother yaani tunabaki kuwaonea wivu maana walipo hatupo wanapiga parefu haswa..mimi nina rafiki yangu imagine nimegraduate nae mika 8 tu iliyopita sasa napiga nae story ananiambia anajenga apartment 10 kwa pamoja imagine huku mimi nikijiangalia napambana na kibanda cha kulalia huu mwaka wa 4 hata sioni kama nitamaliza hivi karibuni..
Ukweli niliojifunza tusichukue kila ushauri wa watu isee serikalini kutamu sana lazima nirudi kwa namna yeyote ile. Kwa sasa ni patamu haswa..
 
Kila mtu na urefu wa kamba yake,kama huna kamba subiri tu kiama.
 
hahahahahaha, sawa sawa kama huwawezi jiunge nao
Kweli mkuu maana CCM haipigiki kiukweli na ukijaribu kupigana nayo maisha yako utaishi kama digidigi biashara utafunga na kazi hautafanya kutwa kujificha sasa familia itakula nini?

Wakuu kusema za ukweli huu utawala Hela zipo nje nje tena nyingi mno na makampuni sasa hivi Yana Hela sana ila tu muhimu uwe kwenye mfumo Yani uwe chawa ndani ya chama hata hao wachina wa makampuni wakishajua tu unafahamiana na mkubwa Fulani aiseeee mshahara utakaopewa sio wa kitoto.

Sasa nyie endeleeni kuipigania sijui haki na wakati wenzenu wanaporomosha majengo makubwa Kila wakati na Bado huko vibanda vyenu vya temeke vinavunjwa kupisha wakina lugumi wajenge makasri Yao😀😀huku wewe hata kibanda cha kuku haujajenga.
 
True brother yaani tunabaki kuwaonea wivu maana walipo hatupo wanapiga parefu haswa..mimi nina rafiki yangu imagine nimegraduate nae mika 8 tu iliyopita sasa napiga nae story ananiambia anajenga apartment 10 kwa pamoja imagine huku mimi nikijiangalia napambana na kibanda cha kulalia huu mwaka wa 4 hata sioni kama nitamaliza hivi karibuni..
Ukweli niliojifunza tusichukue kila ushauri wa watu isee serikalini kutamu sana lazima nirudi kwa namna yeyote ile. Kwa sasa ni patamu haswa..
Kuna namna watu wanadhani wale walio serikalini ni wa chafu..

Yes, ni wa chafu kwa matendo ila kwa namna fulani hata kama ingelikuwa ni wewe mbona Unge act the same way!!
 
Wakuu mkiendelea kubaki ndani ya CDM mtakufa njaa na wake zenu wanataka Hela na watoto shule!! Muhimu ingieni tu kwenye mfumo wa CCM kimya kimya maisha yaendelee hakuna namna
Umenena kitu ngumu Kumeza...

Ni kuacha kujipa matarajio fake..
Mwana FA anasema "akili ni nywele ila mbona wanao wenye upara?"
 
Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.

Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.

Na tukienda hivi mpaka 2030..

Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.

Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..

Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye taka kuachilia mereji wake upotee.. We'll keep rambling while those in the system create generational wealth.

Kila mtu ashinde mechi zake.
Kumbe unahisi Tu kama wanaiba,huna uhakika,kama kujenga ndo wizi basi na Dubai imejengwa kwa wizi,muhimu Fanya Kazi ujenge na wewe,Wacha wivu
 
Back
Top Bottom