witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Karudi kwa baabake mbeziDida nae ndo nini kuwaanika wenzao namna hiyo wakat wametuambia wamechanga million 8, Dida sio mtu mzuri akiii, kama namuona Irene alivyochunda uso kwa kumbuka mxieew kujifanya ana hela wakati anakaa nyumba ya kupanga
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app


