Jaman![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sisi bado watoto jamani lolWanazengo na nyie mna midomo, kwanza na nyie mmeolewa au ndo mko heda kama warum hapai
![]()
Umaarufu wa majina ya wachangiaji na kiasi walichoahidi inaonyesha hali halisi ya kiuchumi ya watu, hali ni mbaya tumuombee Mama katika kurejesha mambo na kurekebisha uchumi wetu ulioporomoka

, Dida sio mtu mzuri akiii, kama namuona Irene alivyochunda uso kwa kumbuka mxieew kujifanya ana hela wakati anakaa nyumba ya kupanga
NaamBinamu Dida amepata mtu wakumstiri
HUBA inalipa jamanHuyo Romi jone pleji ya laki 5 wakati yeye ni chawa tu??
Shoga nae ana uso mpana kama uji wa muhogo mxieew , usikute ni age mate na mama Diamond yule
Hilo nalo lakuuliza sasa wewe mwangalie mashavu yalivomdondoka na hapo ujumlishe na makeup za kila saa maana Dida anapiga kutwa mara tatu makeup



... shoga make ups kutwa mara tatu na zinadunda, anaonekana kama zile poda wanazopakwa maiti, Dida ana sura nzito Jaman looh ila wanaume wana huruma