Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa balakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakaa kwa Mme wa Dada yako vumilia tu jamaa akija kalewa anaanza kushikashika mkewe na wewe upo unajifanya unaangangalia kwa jicho la kuibia hiyo ni Mali yake, ukiona noma rudi kijijini
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa balakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ukiambiwa ww ni mpumbavu utaona km umetukanwa na utalitunisha kalio lako utake kutukanana ila amini tu kuwa ww ni mpubavu uliyeendelea kwenye sekta ya upumbavu..

Kwann unatupotezea muda kusoma mada km hii yako?,Kama mwanao amekushinda kumtunza hapo kwako ktk wakati huu wa janga basi mpeleke kwa ndugu zako wakusaidie.Yaani shule zifunguliwe halafu wanafunzi wasilundikane wkt mpaka muda shule zilipofungwa vyumba vya madarasa na viti+madawati vilikuwa havitoshelezi kiasi cha watoto wengine kukaa chini na wengine kujazana madarasani.

Labda ww unawazungumzia watoto gani ambao hawarundikana na watakaovaa barakoa huko mashuleni??

Ww bila shaka utakuwa nesi ambaye unajisikia ovyo kuwaona walimu wanapumzika bila kazi sio bure.c

Fikirisha kichwa ktk baadhi ya mambo ya msingi na sio makalio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mwalimu wa kujitolea naona vyuma vimekaza,nikuambie serikali ina wasomi wengi kabla ya kufikia hatua ya kupinga shule ilishayapitia yote,kwa sasa tunapigana na vitu vuwili tu kifo na uzima,kama wewe kwako elimu ni bora kuliko uzima pole sana

Kumbuka umetoa hoja ya watoto kuvaa barakoa hivi wewe umewahi hata kulea watoto wa shemeji yako uone walivyo wasumbufu,mtoto wa miaka tano hawezi kamwe kukubali kuvaa barakoa anaona kama ni kero ,lakini kumbuka pia corona haenezwi kwa hewa tu kusema kuwa ukivaa barakoa basi umemthibiti,kuna hatua zingine zinahitaji kufuatwa

Kiufupi imekula kwako kuwa mvumilivu,elimu Haita linganishwa kamwe na uhai,even if ugonjwa utadumu kwa miaka kumi ukiwa na kasi hii amini shule zitaendelea kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawazo aya kweli taifa tuna kazi

Uko ulipo anzia (china) wamekufa maelfu na shughuli za Kawaida zinaendelea. Mbn unalopoka leo nimeamini kuna few Tz people who have ability to judge future of their country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe endelea kubwabwaja,ukidhani kuna mtu atakusikia,naona umeamua kupoteza muda wewe mwalimu wa kujitolea,ni bora ungekuwa unafanya shughuli ya kukuingizia kipato
Kwa mawazo aya kweli taifa tuna kazi

Uko ulipo anzia (china) wamekufa maelfu na shughuli za Kawaida zinaendelea. Mbn unalopoka leo nimeamini kuna few Tz people who have ability to judge future of their country

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ukiambiwa ww ni mpumbavu utaona km umetukanwa na utalitunisha kalio lako utake kutukanana ila amini tu kuwa ww ni mpubavu uliyeendelea kwenye sekta ya upumbavu..

Kwann unatupotezea muda kusoma mada km hii yako?,Kama mwanao amekushinda kumtunza hapo kwako ktk wakati huu wa janga basi mpeleke kwa ndugu zako wakusaidie.Yaani shule zifunguliwe halafu wanafunzi wasilundikane wkt mpaka muda shule zilipofungwa vyumba vya madarasa na viti+madawati vilikuwa havitoshelezi kiasi cha watoto wengine kukaa chini na wengine kujazana madarasani.

Labda ww unawazungumzia watoto gani ambao hawarundikana na watakaovaa barakoa huko mashuleni??

Ww bila shaka utakuwa nesi ambaye unajisikia ovyo kuwaona walimu wanapumzika bila kazi sio bure.c

Fikirisha kichwa ktk baadhi ya mambo ya msingi na sio makalio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote ata chizi huwa anajiona mzima,

Sawa Kwa upeo wa akili yako umeishia apo ila Nakuahidi hali hii Ikiendelea baada ya miezi miwili utaona impact zake.

Sio kila anayeongea anaongeo fact, zingine ni kelele kama za radio, najua ni mtu mzima Sana nisamehe kwa kukwambia ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me naona vyuo vingefunguliwa wakubwa tukaendelea na vitabu huku tukichukuwa tahadhari
 
Wale maadui watatu waliotangazwa kipindi Cha Mwalimu, kupambana nao Ni endless process.

Kwa nyakati hizi, Mimi niseme kwamba tuna mbadala wa upatikanaji wa Elimu, Ila hatuna mbadala wa upatikanaji wa uhai.

Tunayo Elimu ya watu wazima (Adult education), kwahiyo watoto wakikosa Elimu ya kuanzia utotoni watapata kupitia mfumo huu wa pili. Pia Kuna Elimu kwa vitendo.

Uhai ukishaukosa ndiyo basi, kimsingi kwa watoto kurudi Shule Ni mapema mno maana hata miezi miwili tangu tumefunga haijapita, pia ndiyo kwanza maambukizi(spreading) yapo at embryo stage. Hapa Ni hatari sana, yangekuwa yamefika peak na yanashuka tungeanza, pengine, kufikiri hivyo.

Tuendelee tu na utengamao uliopo, uchumi unaweza kurevamp, Elimu unaweza kuipata at any time inasmuch you are alive. Uhai kitu kingine.

I humbly submit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadui wapo wanne.Mmoja umemsahau
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa barakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umeelewa lakini huu Ndo upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipaswa kuelewa, nimeuliza swali Mkuu. maana hayo maneno Yana maana tofauti, na wewe ndiye mwandishi, upo kwenye advantage ya kujua na kuchagua neno unalolitaka kutumia. Mimi nisingeanza kufikiri kuwa ulilenga neno fulani. Ndiyo maana nikaona nikuulize. Hapo ungeweza kunijibu bila hata kunitukana, hapa Jamvini Ni kawaida kuulizana vitu Kama hivyo ili kupata ujembe uliokusudiwa.

Wewe jamaa kila hoja unayoijibu Lazima utukane.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom