Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

labda elimu ya juu ,ila hawa wa shule za msingi,bado sana asee..
 
Shule zifunguliwe tuu kwa kweli,mbona shughuli nyingine zinaendelea.
 
Kwa kipindi hichi shule zisifundishe hayo masomo yake wanafunzi wafundishwe kilimo, ujasiriamali,stad za kazi pamoja na computer mpk mwakani ili tuanze mwaka mpya wa masomo
 
Ulipaswa kuelewa, nimeuliza swali Mkuu. maana hayo maneno Yana maana tofauti, na wewe ndiye mwandishi, upo kwenye advantage ya kujua na kuchagua neno unalolitaka kutumia. Mimi nisingeanza kufikiri kuwa ulilenga neno fulani. Ndiyo maana nikaona nikuulize. Hapo ungeweza kunijibu bila hata kunitukana, hapa Jamvini Ni kawaida kuulizana vitu Kama hivyo ili kupata ujembe uliokusudiwa.

Wewe jamaa kila hoja unayoijibu Lazima utukane.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu shukurani kwa mchango wako
 
Iv mfano tu Kama that day March 17 wazir mkuu asingetangaza kuzifunga shule na vyuo Leo hii maambukizi yangekuwaje?

Wazo lako ni zur Sana,Ila it's too earlier kufanya hivyo tusubir at least miez miwili hivi Tena tuone Hali itakavyokuwa ,coz ndo kwanza wagonjwa wanaongezeka na hata serikali yenyewe haionyeshi idadi ya waliopimwa till now ,so inawezekana tukawa na wagonjwa wengi pia huku mtaani,[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kipindi hichi shule zisifundishe hayo masomo yake wanafunzi wafundishwe kilimo, ujasiriamali,stad za kazi pamoja na computer mpk mwakani ili tuanze mwaka mpya wa masomo
jambo zuri sidhani kama ni possible.
 
SIUNGI MKONO HOJA

Yaani Corona imepamba moto hapa nchini halafu ukawasweke wanafunzi wanne kwenye dawati moja?

Unajua wanafunzi wanavyoketi katika shule za vijijini?

SULUHISHO: Elimu itolewe kwa njia ya digitali wezeshi kwasababu utaratibu huo ulishaanza hata kabla ya Corona kuja.

Waalimu waliosomea masomo ya IT na Computer science kila wilaya wapatiwe semina fupi utakayowezesha Teaching & Learning process kwa wanafunzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iv mfano tu Kama that day March 17 wazir mkuu asingetangaza kuzifunga shule na vyuo Leo hii maambukizi yangekuwaje?

Wazo lako ni zur Sana,Ila it's too earlier kufanya hivyo tusubir at least miez miwili hivi Tena tuone Hali itakavyokuwa ,coz ndo kwanza wagonjwa wanaongezeka na hata serikali yenyewe haionyeshi idadi ya waliopimwa till now ,so inawezekana tukawa na wagonjwa wengi pia huku mtaani,[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu
 
SIUNGI MKONO HOJA

Yaani Corona imepamba moto hapa nchini halafu ukawasweke wanafunzi wanne kwenye dawati moja?

Unajua wanafunzi wanavyoketi katika shule za vijijini?

SULUHISHO: Elimu itolewe kwa njia ya digitali wezeshi kwasababu utaratibu huo ulishaanza hata kabla ya Corona kuja.

Waalimu waliosomea masomo ya IT na Computer science kila wilaya wapatiwe semina fupi utakayowezesha Teaching & Learning process kwa wanafunzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
wazo zuri mkuu Ila nchi yetu ina miundo mbinu ya kutosha.
 
Si useme umechoka kukaa nyumban na umekuwa kero kwa wazazi au hela huna mpk utegee utumwe dukan kale kachenji ndo ununue vocha
Wakiwa vyuoni huwa wanatusumbua sana tuwatumie chochote. Sasa hivi wanakula na kulala bure hela za nn?? Ukimtuma nyama kg moja anakuja na robo tatu. Yaani wee acha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wazazi hawawezi kubaliana kwa mawazo hayo ya kitoto. Mtoto anaweza toka nyumbani yupo salama ila akaambukizwa akiwa anasafiri. Sasa imagine shule ina wanafunzi mia 700 halafu mmoja aje na maambukizi hali itakuwaje. Kama mzazi umeshindwa kuwadhibiti watoto wako 4, unategemea walimu 20 wataweza kuwadhibiti watoto 500. Tusikwepe majukumu yetu wazazi kwa kukimbizia watoto mashuleni. Na yeyeto anatoa mawazo ya kufungua shule kipindi hichi atakuwa under 20 sio mzazi. Mzazi makini hawezi mtoa kafara mwanae
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wewe ni mwalimu wa kujitolea naona vyuma vimekaza,nikuambie serikali ina wasomi wengi kabla ya kufikia hatua ya kupinga shule ilishayapitia yote,kwa sasa tunapigana na vitu vuwili tu kifo na uzima,kama wewe kwako elimu ni bora kuliko uzima pole sana

Kumbuka umetoa hoja ya watoto kuvaa barakoa hivi wewe umewahi hata kulea watoto wa shemeji yako uone walivyo wasumbufu,mtoto wa miaka tano hawezi kamwe kukubali kuvaa barakoa anaona kama ni kero ,lakini kumbuka pia corona haenezwi kwa hewa tu kusema kuwa ukivaa barakoa basi umemthibiti,kuna hatua zingine zinahitaji kufuatwa

Kiufupi imekula kwako kuwa mvumilivu,elimu Haita linganishwa kamwe na uhai,even if ugonjwa utadumu kwa miaka kumi ukiwa na kasi hii amini shule zitaendelea kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwalimu wa shule gani? Hivi upo sawa kweli? Unaandika kama mtoto wa lakwanza? Nukta kwenye habari yako hamna unachojua ni mikato tuu. Nifunze kuandika kwa kuzingatia vituo.
 
Back
Top Bottom