Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,717
- 31,027
Hii ndiyo ilipelekea nikunukuu(quote).Kwenye uzi mleta mada kaandika adui watatu wa taifa letu....wewe unaangukia kwa adui namba moja
Huenda nilielewa au kutafsiri tofauti kidogo.
Hii ndiyo ilipelekea nikunukuu(quote).Kwenye uzi mleta mada kaandika adui watatu wa taifa letu....wewe unaangukia kwa adui namba moja
Hii ndiyo ilipelekea nikunukuu(quote).
Huenda nilielewa au kutafsiri tofauti kidogo.
Hapo nahisi nimekuwa defensive sana, sipendi kukwaruzana na watu humu JF hadi mtaani.Kwanini umehisi umenikwaza?kuuliza kwanini umeni CC?tatizo hilo
Wambie MkuuTtzo mnapenda muendelee kukaa home kwa kuwa mshahara unaingia km kawaida
Ngoja mkatiwe mwezi mmoja tuh, muone mtalavyonyooka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kbs mkuu, kama ni ivo taasisi zote zifungweKabisa mkuu
Ipangwe mikakati, naamin hakuna kisichowezekana
Tena may ni mbali mnoo, mikakati ikipangwa tutafanikiwa kurudi shule km kawaida
LKN kuendelea kufunga, ni kutesa tabaka fulani, huku wengine wakiachiwa wachape kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Apana boss, ni uzalendo wa kuwajali wananchi tuMhuni umechoka kukaa home kizembe
Kwenye uzi mleta mada kaandika adui watatu wa taifa letu....wewe unaangukia kwa adui namba moja
Afi mtu, Mbn mnapenda kusikia vifo tz watakufa familia yakoCorona iki kaa hata miaka 3 kuna uwezekano wakabaki watu laki saba nchi nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Ndo wafunge, afu kukosea neno moja haibadiri maana, umeandika stupid things"Balakoa"Bila shaka Wewe ni First Year unawazia Boom..
Ivi unafikiri iyo elimu itaeleweka kwa wote? yani wali watoto wa vidudu uwaambie wasikaribiane ili kuepuka kugusana hapo utakua unajidanganya kabisa
Ndo vitu unavyo waza acha ujingaWewe acha watu wafaidi totozi, hakuna kwenda bar mitaani zinazagaa tena za bure kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli MkuuSawa, ila tufanye assesment kwa muda wa wiki zingine 2 tuone kwanza...
Shule zote, Mbn kwenye daladala tumeweza iwekwe mikakati kila kitu ni possibleUnaongelea shule gan labda izi za kata ambazo wanafunzi wapo 200 darasa moja au izo za intaneshino zenye wanafunzi 35 darasan???
Ndo mana nikasema wanafunzi waingie Kwa shift ata tatu ili mradi wapate elimu atuwez kusimamisha mambo yote kisa kitu ambacho ujui kitaisha lini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kinachoitwa change kina impact zake akuna kitu utafanya kisiwe na faida na changamoto Muhimu kupambana na changamotoMkuu naheshimu maoni yako.
Lakini ngoja nikuulize haraka yote hiyo ya nini?
Unafikiri huko kwenye nyumba za ibada wanakaa pamoja muda mrefu tena watu wengi kwenye chumba kidogo kama darasa?
Unafikiri watoto wana umakini katika kujizuia wasiguse usoni au wasiweke vitu ovyo mdomoni?
Unafikiri watoto wanaweza kunawa mara kwa mara kwa maji na sabuni?
Unafikiri tutapata wapi pesa ya kuongeza madarasa ili wanafunzi wachache wakae chumba kimoja kwa umbali sahihi kati ya mwanafunzi mmoja na mwingine?
Wewe kama mwalimu au mwalimu wa tuition au mfanyakazi wa shule au chuo vumilia au pendekeza namna ya kuwawezesha kipindi hiki kigumu, babu wa babu zako hawakusoma shule au chuo na waliishi.
Uhai kwanza na mengine yatakuja baadae hali ikiruhusu bila kuathiri uhai wa watu.
Oho vzr mkuuHapo nahisi nimekuwa defensive sana, sipendi kukwaruzana na watu humu JF hadi mtaani.
J na wewe unashauri shule zifunguliwe?