Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,242
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa barakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hili
IMG-20200419-WA0017~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah kwa hiyo unadhani miaka 100 wewe bado utakuwa unaendelea kuishi tu,,,
hoja yako haina mashiko
Haina mashiko Aisee Kwamba ujui madhara ya watoto kukosa elimu, je Mikusanyiko iliyopo uko makanisani uioni kuwa mkweli kuna umuhimu gani wa kufunga vyuo na shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea Ko na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1.kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2.kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa balakoa
3.kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4.kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1.ujinga
2.maradhi
3.umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app

Umechoka kudeki na kupika??
 
Back
Top Bottom