Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.
Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.
1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule
MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa balakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr
Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hili
View attachment 1429305
Sent using
Jamii Forums mobile app