Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

nahisi huna ata mtoto unajua Mikusanyiko iliyopo Mtaani ww
Kwa hiyo kama mtaani kuna mikusanyiko inamaana wewe mzazi umeshindwa kumdhibiti mwanao. Sasa kama wewe mwenye mtoto hujali afya ya mwanao nani anapswa kujali. Hata wewe si mzazi nahisi ni mwalimu wa shule binafsi, wewe unachojali ni kuapta tu mshahara ila afya za watoto wetu hazikuhusu
 
Mimba kwa wanafunzi ni jambo ambalo halitakiwii, serikali yetu inapiga vita sanaa jambo hili lisitokee.

Lakini kuna uwezekano mkubwa wa wanafunzi hasa wa kike kuahirisha masomo kwasababu ya ujauzito baada ya kipindi hiki cha covid-19 kwisha.

Nasema hayo kwasababu ya hali iliyopo huku mtaani. Watoto hawatulii nyumbani, hata wakitulia nyumbani hapaeleweki, maisha duni kwa wengi hivyo wanakuwa na wakati mgumu kukataa vishawishi.

Wazazi wengi pia wanawatumia watoto kutafuta kipato, mfano kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wadogo wanauza karanga , mayai ya kuchemsha etc. wanazurula mitaani hovyo.
Kutakuwa na umuhimu wa waziri kuweka kalipio kwa wazazi ambao watoto wao hawatarudi mashuleni

Serikali iliangalie hili na ikiwezekana secondary na vyuo vianze kufunguliwa mwezi mei huku wanafunzi na walimu wakihakikisha ushauri wa kujikinga unafuatwa kikamilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu

fact mwamba
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa barakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahakikisha vp wanafunzi hawajazani darasani wakati wewe ni shuhuda sehemu kibao vijijini kuna uhaba wa madarasa. Labda kama wengine wasubirishwe mwaka hapo sawa
 
Hakuna lililo na mwanzo lisilo na mwisho

Mi japo korona ni hatari Ila Mimi sio Kama ni kitu kipya

Ni pattern ile ile ya matukio ya ulimwengu yanayojirudia Miaka kwa Miaka

Huku nyuma zamani sana dunia iliwahi kumbwa na magonjwa Aina plague za Aina mbali mbali zilipita dunia ikabaki na watu wake

So the pattern au historia inajirudia so nothing new labda new virus but it can't wipe the entire human kind

So tupambana tu kadri ya uwezo wetu kulingana naushauri wa madaktari na tuwaonbe walio maabara wafanikishe chanjo na matibabu ya huu ugonjwa upite dunia iendelee

Aluta continua[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazigazi umeishia darasa la 4 .... au? Kichwa cha mada na uliyoandika havina uhusiano wowote! Matokeo ya kuogopa umande!
 
Umejitahidi sana kuwaza kwa sauti kubwa, wanafunzi wa sekondari na msingi Ni ngumu Sana kujikinga kwa Sababu kuu zifuatazo

1wingi wa wanafunzi darasani unakuta darasa moja wanafunzi 120, wanasongamana kama mbegu za ulezi.

2. Uwezo duni wa kiuchumi kununua hizo barakoa, sabuni tu Ni shida kwa mzazi kumpa mwanae afue uniform

Hiyo tu kwa Nin tuhatarishe maisha ya watoto wetu wakae tu nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa barakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezaa kweli wewe? Una watoto? Unajua Uchungu na Utamu wa watoto?
 
Back
Top Bottom