Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Siku zote ata chizi huwa anajiona mzima,

Sawa Kwa upeo wa akili yako umeishia apo ila Nakuahidi hali hii Ikiendelea baada ya miezi miwili utaona impact zake.

Sio kila anayeongea anaongeo fact, zingine ni kelele kama za radio, najua ni mtu mzima Sana nisamehe kwa kukwambia ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
We nesi piga kazi acha kulialia shule zitafunguliwa muda wake ukifika ila sio kwa kufuata ushauri wa watu km ww msiozijua changamoto zinazozikabili shule zetu lakini aina ya watoto wetu tulionao ktl shule zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wazazi hawawezi kubaliana kwa mawazo hayo ya kitoto. Mtoto anaweza toka nyumbani yupo salama ila akaambukizwa akiwa anasafiri. Sasa imagine shule ina wanafunzi mia 700 halafu mmoja aje na maambukizi hali itakuwaje. Kama mzazi umeshindwa kuwadhibiti watoto wako 4, unategemea walimu 20 wataweza kuwadhibiti watoto 500. Tusikwepe majukumu yetu wazazi kwa kukimbizia watoto mashuleni. Na yeyeto anatoa mawazo ya kufungua shule kipindi hichi atakuwa under 20 sio mzazi. Mzazi makini hawezi mtoa kafara mwanae
nahisi huna ata mtoto unajua Mikusanyiko iliyopo Mtaani ww
 
Write your reply...tunaelewa hamna boom sahivi ela zinawapiga chenga



mpaka chanjo itakapopatikana ndo vitafunguliwa unataka idadi ya waathirika iongezeke ?
 
Wewe huwatakii mema wanafunzi....au huna mtoto,ama wadogo zako wanaosoma?
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa barakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr


Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba kwa wanafunzi ni jambo ambalo halitakiwii, serikali yetu inapiga vita sanaa jambo hili lisitokee.

Lakini kuna uwezekano mkubwa wa wanafunzi hasa wa kike kuahirisha masomo kwasababu ya ujauzito baada ya kipindi hiki cha covid-19 kwisha.

Nasema hayo kwasababu ya hali iliyopo huku mtaani. Watoto hawatulii nyumbani, hata wakitulia nyumbani hapaeleweki, maisha duni kwa wengi hivyo wanakuwa na wakati mgumu kukataa vishawishi.

Wazazi wengi pia wanawatumia watoto kutafuta kipato, mfano kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wadogo wanauza karanga , mayai ya kuchemsha etc. wanazurula mitaani hovyo.
Kutakuwa na umuhimu wa waziri kuweka kalipio kwa wazazi ambao watoto wao hawatarudi mashuleni

Serikali iliangalie hili na ikiwezekana secondary na vyuo vianze kufunguliwa mwezi mei huku wanafunzi na walimu wakihakikisha ushauri wa kujikinga unafuatwa kikamilifu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom