Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,598
- 44,423
Nature yao ndo hiyo ya pakistan au afghanistan ila washalegezwa tayari.Tusitake uislamu wa bongo uwe kama wa Afghanistan au Pakistan.
Nature yao ndo hiyo ya pakistan au afghanistan ila washalegezwa tayari.Tusitake uislamu wa bongo uwe kama wa Afghanistan au Pakistan.
Daku ni UTAPELI.Kwaresma tunafungua jioni hii tutakula Tena kesho jioni kama hii. Hakunaga daku
Ewe kobaz mtiifu kumbe una ndugu makafir?Enyi Ndugu zangu makafiri wote tuacheni kobaz tumpuzke mwez ukiisha mje tutukanane vizur kwasasa mnachukua pwent za mezani tu
DuuuhYani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.
Huwa tunakosea ila wengi huwa tunamaanisha siku hiyo hiyoHivi saa 9 ya usiku, kesho yake inakuwa ni asubuhi baada ya kukucha au baada ya kufika saa 6 usiku?
Imekuwa kawaida sana unakuta mtu mmetoka banda umiza kucheki game iliyoisha saa 7 usiku then mnaagana unamsikia akisema "kesho"
Makafiri mna shida sana na Uislamu na yote inasababishwa na kua nyninyi ni waovu , kama sio muovu huwezi kuuchukia uislamu.Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.
Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.
Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?
Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.
Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.