Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.

Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.

Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?

Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.

Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
Kwaresma tunafungua jioni hii tutakula Tena kesho jioni kama hii. Hakunaga daku
 
Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.

Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.

Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?

Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.

Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
Ndio maana chakula kinapanda
 
Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.

Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.

Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?

Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.

Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.

ayat 120 from Surah Al-Baqarah
ļ“æŁˆŁŽŁ„ŁŽŁ† ŲŖŁŽŲ±Ł’Ų¶ŁŽŁ‰Ł° Ų¹ŁŽŁ†ŁƒŁŽ Ų§Ł„Ł’ŁŠŁŽŁ‡ŁŁˆŲÆŁ ŁˆŁŽŁ„ŁŽŲ§ Ų§Ł„Ł†Ł‘ŁŽŲµŁŽŲ§Ų±ŁŽŁ‰Ł° Ų­ŁŽŲŖŁ‘ŁŽŁ‰Ł° ŲŖŁŽŲŖŁ‘ŁŽŲØŁŲ¹ŁŽ Ł…ŁŁ„Ł‘ŁŽŲŖŁŽŁ‡ŁŁ…Ł’ Ū— Ł‚ŁŁ„Ł’ Ų„ŁŁ†Ł‘ŁŽ Ł‡ŁŲÆŁŽŁ‰ Ų§Ł„Ł„Ł‘ŁŽŁ‡Ł Ł‡ŁŁˆŁŽ Ų§Ł„Ł’Ł‡ŁŲÆŁŽŁ‰Ł° Ū— ŁˆŁŽŁ„ŁŽŲ¦ŁŁ†Ł Ų§ŲŖŁ‘ŁŽŲØŁŽŲ¹Ł’ŲŖŁŽ Ų£ŁŽŁ‡Ł’ŁˆŁŽŲ§Ų”ŁŽŁ‡ŁŁ… ŲØŁŽŲ¹Ł’ŲÆŁŽ Ų§Ł„Ł‘ŁŽŲ°ŁŁŠ Ų¬ŁŽŲ§Ų”ŁŽŁƒŁŽ Ł…ŁŁ†ŁŽ الْعِلْمِ Ū™ Ł…ŁŽŲ§ Ł„ŁŽŁƒŁŽ Ł…ŁŁ†ŁŽ Ų§Ł„Ł„Ł‘ŁŽŁ‡Ł مِن ŁˆŁŽŁ„ŁŁŠŁ‘Ł ŁˆŁŽŁ„ŁŽŲ§ Ł†ŁŽŲµŁŁŠŲ±Łļ“¾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Tatizo lenu wala sio kuuliza ili mjue, bali mnakebehi, msidhihaki wengine kwan hata nyiny mna mapunguf mengi ambayo msingependa kudhihakiwa.

Kwenye suala la Kufunga, Kiimani ya kiisalm vzr ungejifunza Kufunga ni nn kwa mujib wa iman ya kiislam, na utakua unakosea ukijarb kufananisha funga ya imani yako na ya imani nyingine. Hapo utakua unachanganya mafail.

Dunia saiz ni pana, elimu imetapakaa, hata google unapata majib mazur t kwa mujib wa wasomi wa kiislam, em ulza huko bas utajibiw vzr tu. Lkn kwa ufupi tu.

Swaum ni kujizuia kula kunywa, na baadh ya mamb mengine (yatafute) kuanzia alfajir ya mwisho mpk kuzama kwa jua.

Nadhan utakua umepata jibu. Jiyo ndio swaum ya kiislam.

Mada swaum ni topic ndefu ila kqa ufup ni hivo.
labda hayo mambo mengine lakini kwenye msosi hapo mmetupiga!
 
Moyo umeuma sana jamani kumpoteza Member Mwenzetu.
May Her Soul Rest in Peace šŸ™. Poleni sana kwa msiba wa Mama.
Nomeukumbuka ule Uzi wako wa isidingo Numbisa, marehemu mama yangu alikuwa akikosa kuiangalia LAZMA avae miwani yake aingie JF kukusoma...marehem alikuwa anaipenda sana JF. Sema alituambia akifa tusimtaje kabisa hakutaka ID hiyo wamjue ni nani na tuliheshimu
 
Saa 11 alfajiri mtu kashiba ndiiii hawezi hata kunyanyuka Inabidi alale hapo hapo mpaka saa nne asubuhi ndo atleast apate nguvu za kuamka šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom