Asante sanaMoyo umeuma sana jamani kumpoteza Member Mwenzetu.
May Her Soul Rest in Peace 🙏. Poleni sana kwa msiba wa Mama.
Asante sanaMoyo umeuma sana jamani kumpoteza Member Mwenzetu.
May Her Soul Rest in Peace 🙏. Poleni sana kwa msiba wa Mama.
Kuna muda saa mbovu linasema ukweli kumbe 😹😹Kufunga inatakiwa mtu ale mara moja tu. Yaani ndani ya masaa 24 kula wakati wa kufungua jua linapokuwa linazama basi. Haya mambo ya kula usiku kucha wakati wa mfungo ni dalili za uoga wa njaa. Mtu mwenye imani hawezi kuogopa njaa mbele za mungu wakati wa toba.
Hivi saa 9 ya usiku, kesho yake inakuwa ni asubuhi baada ya kukucha au baada ya kufika saa 6 usiku?
Nyie acheni masimango kwanza dini imesema tule vizuri tu.Saa 11 alfajiri mtu kashiba ndiiii hawezi hata kunyanyuka Inabidi alale hapo hapo mpaka saa nne asubuhi ndo atleast apate nguvu za kuamka 😂
Siijui ID ya mama yako ila nimejikuta namkumbuka Dena Amsi. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi.Nomeukumbuka ule Uzi wako wa isidingo Numbisa, marehemu mama yangu alikuwa akikosa kuiangalia LAZMA avae miwani yake aingie JF kukusoma...marehem alikuwa anaipenda sana JF. Sema alituambia akifa tusimtaje kabisa hakutaka ID hiyo wamjue ni nani na tuliheshimu
Ndo mana wakat wa Ramadhani vyakula vinapanda bei mana wanajua makobaz hawafungi bali wanabadili ratiba ya kula, angalia makobaz wengi kipindi cha Ramadhani ndo wananunua sana chakula.Nyie acheni masimango kwanza dini imesema tule vizuri tu.
Makafiri mnashambulia kila kona. LohNdo mana wakat wa Ramadhani vyakula vinapanda bei mana wanajua makobaz hawafungi bali wanabadili ratiba ya kula, angalia makobaz wengi kipindi cha Ramadhani ndo wananunua sana chakula.
Ww subir ifike saa 6 upige msosi, ifike Saa 11 alfajiri ule usaze mpaka kushindwa kuamkaMakafiri mnashambulia kila kona. Loh
Sisubiri nishategesha alarm zangu tatu hadi kufikia alfajiriWw subir ifike saa 6 upige msosi, ifike Saa 11 alfajiri ule usaze mpaka kushindwa kuamka
Afu mchana n mwendo wa kujikausha huli Kumbe ushavimbiwa Kwa kujaza chakula 😂Sisubiri nishategesha alarm zangu tatu hadi kufikia alfajiri
Nitakusomea abadili wewe. Hebu tuliaAfu mchana n mwendo wa kujikausha huli Kumbe ushavimbiwa Kwa kujaza chakula 😂
Kuna kobaz amenipita hapa amebeba mifuko miwili ya matunda, Kivumbi leo 😂 kabla ya saa 12 asubuhi yatabaki maganda tuuNitakusomea abadili wewe. Hebu tulia
Tusitake uislamu wa bongo uwe kama wa Afghanistan au Pakistan.In reality waislam wengi hawafungi.
Kama ni mtu wa vijiwe na kuongea na watu tofaut utajua kua miaka ya hivi karibuni mfungo wa ramadhan sio kama wa siku za nyuma.
Kati ya dini nilizokua naamin ziko strictly na mafundisho yake ni Islam ila saivi nao tayari washajaa kwenye mfumo, wengi wako shallow kama wakristo tu(hasa catholics).
Dah. Wenzio wananunua jumla wanakula kidogo kidogo. Kafiri acha usumbufu.Kuna kobaz amenipita hapa amebeba mifuko miwili ya matunda, Kivumbi leo 😂 kabla ya saa 12 asubuhi yatabaki maganda tuu
Ule kidogo kidogo gani bwana 😂 ww kobaz acha kutuona Sisi watoto 😂Dah. Wenzio wananunua jumla wanakula kidogo kidogo. Kafiri acha usumbufu.
Ngoja nikakusemee kwa baba.Ule kidogo kidogo gani bwana 😂 ww kobaz acha kutuona Sisi watoto 😂