Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,449
Reaction score
11,505
Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.

Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.

Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?

Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.

Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
 
FB_IMG_17717681539295497.jpg
 
Tatizo lenu wala sio kuuliza ili mjue, bali mnakebehi, msidhihaki wengine kwan hata nyiny mna mapunguf mengi ambayo msingependa kudhihakiwa.

Kwenye suala la Kufunga, Kiimani ya kiisalm vzr ungejifunza Kufunga ni nn kwa mujib wa iman ya kiislam, na utakua unakosea ukijarb kufananisha funga ya imani yako na ya imani nyingine. Hapo utakua unachanganya mafail.

Dunia saiz ni pana, elimu imetapakaa, hata google unapata majib mazur t kwa mujib wa wasomi wa kiislam, em ulza huko bas utajibiw vzr tu. Lkn kwa ufupi tu.

Swaum ni kujizuia kula kunywa, na baadh ya mamb mengine (yatafute) kuanzia alfajir ya mwisho mpk kuzama kwa jua.

Nadhan utakua umepata jibu. Jiyo ndio swaum ya kiislam.

Mada swaum ni topic ndefu ila kqa ufup ni hivo.
 
Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.

Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.

Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?

Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.

Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
Kufunga inatakiwa mtu ale mara moja tu. Yaani ndani ya masaa 24 kula wakati wa kufungua jua linapokuwa linazama basi. Haya mambo ya kula usiku kucha wakati wa mfungo ni dalili za uoga wa njaa. Mtu mwenye imani hawezi kuogopa njaa mbele za mungu wakati wa toba.
 
Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.

Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.

Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?

Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.

Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
Jalibu na wewe hata kwa siku mbili tu,uone mziki wake
 
Back
Top Bottom