Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
1. UDOM.
Pamoja na kuwa hiki ni chuo cha Serikali lakini kumekuwa na tatizo kubwa sana la kiuongozi katika chuo hiki na kusababisha hata maadili ya Elimu kutozingatiwa. Kimekuwa mara nying kwenye kashfa ya Kusajili wanachuo wenye vigezo hafifu na baadaye pia kuwafaulisha kwa kiwango cha juu ingawa wengi wao kichwani hamna kitu na moja ya ushahidi na hawa waliorudishwa juzi juzi hapa kwa maelfu. Fikiria wale ambao walishamaliza miaka hiyo 6 iliyopita.
2.CBE
Ni chuo ambacho kinachukua watu wote ambao wanaenda kuomba kusoma. Walimu wao wengi ni walimu vijana vijana ambao bado wana utoto utoto mwingi na wengine hajui hata thamani ya elimu. Wadada warembo wengi hufahulu kwa maksi za juu sana ingawa ukikaa nao kichwan hawana content. Inasemekana kuna diploma na degree za ******* . na wengi wamekuwa wakikimbilia huko kwa sababu ya Elimu mchekea.
3. SAUT.
Huku nako walianza kufanya biashara zaidi wakajikuta wanachukua hata failures na kuwatengenezea Bridge Course/ Foundation Course ya miezi kadhaa kabla hawajaja soma Degree. Inaendeshwa kirahisi sana na watu waliokuwa wame fail wamekuwa wakisajiriwa kirahisi tu kwa kupitia hizo course.
4. Tumaini.
Hiki chuo kimekuwa na uhaba wa wakufunzi kiasi kwamba unakuta Mkufunzi wa somo husika anasafiri Mbeya, Dar ,Iringa na kupoteza muda mwingi sana. Nilimkuta mwanafunzi mmoja mwaka 2011 analalamika kuwa hawajafundishwa miezi miwili lecturer kaenda Mbeya ila kawaambia wasijali mtihani wao watafaulu.
5. Mzumbe .
Wamekuwa wakitoa Masters nyepesi sana kiasi kwamba kwa sasa watu wanakimbia UDSM KWA madai kuwa shule ya UDSM ni ngumu sana. Wengi wanakuwa Mzumbe wakifanyiwa research zao na jamaa ambao wameamua kujiajiri kwa njia hiyo.Ukienda Mabibo hostel kuna jamaa wanakaa pale kazi zao kubwa ni kuwafanyia/andalia dissertation wanafunzi wa Mzumbe kwa malipo ya 150,000-400,000 inategemeana na uzito wa kazi yenyewe. Kuna jamaa yangu anafanya kazi Shirika moja la Kimataifa alisoma pale kirahisi sana na kazi zote alikuwa anafanyiwa na jamaa waliojiajiri kuwasaidia wanafunzi wa masters.
Nmevitaja hivi kwa kuwa vipo usoni na ni vyuo vikubwa. Kuna vyuo sikutaka hata kuhangaika navyo kwa sababu hivyo ni kuvionea kwa kuwa tayari vilishashindwa mapema. Hivi nlivyotaja nmetaja kwa kuwa ni vyuo vikubwa na vyenye majina makubwa. So mtu akisema kuna chuo morogoro ,songea,mosh n.k kwa kuwa sijakitaja basi ni salama atakuwa amewaza kwa kukosea.
Sijataja kwa kuwa hivyo havina impact kubwa sana. Mama Prof Waziri Ndalichako kazi bado ni kubwa ila tunakutegemea uiokoe Elimu hii na wasomi hawa tuliokuwa nao sasa ambao kiuhalisia ni wasomi wa vyeti tu llakini ki uwezo hamna kitu na hawana mchango wowote kwa Taifa au katika jamii.