Hapo unaona unategwa! Je ungefundisha IFM, TIA, au CBE si ndio ungechanganikiwa kabisaWakuu salamu humu
Mwenzenu nipo katika mtihani mkubwa Sana dhidi ya hawa wanachuo wangu wa kike
Watoto ni warembo balaa skirt wanazovaa na mikao yao darasani ninapowapigia lecture ni mitego tupu
Wanavaa skirt fupi na kukaa kihasara hasara
Baadhi wameanza mazoea kwangu kuniomba omba hela ya supu na nauli
Jamani nikianza kuwala ni kosa kwani manake wanavyonifanyia uzalendo umenishinda.
Unamfaham huyu pastor
Kaka endelea kuwataman hao malaika ila kama kwa sasa una miaka 30 kumbuka mlinganyo huu; 30+30=60Wakuu salamu humu
Mwenzenu nipo katika mtihani mkubwa Sana dhidi ya hawa wanachuo wangu wa kike
Watoto ni warembo balaa skirt wanazovaa na mikao yao darasani ninapowapigia lecture ni mitego tupu
Wanavaa skirt fupi na kukaa kihasara hasara
Baadhi wameanza mazoea kwangu kuniomba omba hela ya supu na nauli
Jamani nikianza kuwala ni kosa kwani manake wanavyonifanyia uzalendo umenishinda.
Kwani ana kingine kipi zaidi ya papuchi?Hivi wanaume kuna tunachomwazia mwanamke zaidi ya uchi
hahaha mtaalam bila shaka umesomaga literature eeeh??Teaching is the noble profession....
Ndio maana kwenye hotels nyingi za hadhi ya juu wamejaa foreigners.
Hotels za hadhi ya juu ...four to five stars ni very complex business kuziendesha...Teaching is the noble profession....