I'm not Mataga lakini this is an issue... Kama WHO wamesema itatubidi tuishi na hivi virusi kama virusi vingine why not tusifungue shule na vyuo!!?Una watoto wangapi? Wana umri gani wote?
Tuanzie hapo
Upo sahihi mkuu. Hao hawakosekani hata kwenye mambo reality kama hayaKuna watu watapinga
Mataga bwana.daah.
Eti kama Uingereza.. unajua has precautions ambazo uk kazitumia? Unafananisha mashule ya DSM na UK.
Kwanza kule wanapima. Wewe hupimi kwanza huamini hizo mashine.
Msitake kutuulia watoto.
Ila nyie jamaa daaah.
Mtasababisha tuingie msituni tu potelea pote
Kabisa ...naunga mkono hojaI'm not Mataga lakini this is an issue... Kama WHO wamesema itatubidi tuishi na hivi virusi kama virusi vingine why not tusifungue shule na vyuo!!?
Hatuwezi kufunga taasisi za elimu milele labda dunia iishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi: Endapo ligi luu Tanzania bara ikarejea na mechi kuchezwa katika viwanja mbali mbali hapa nchini, basi ni vyema pia vyuo na shule zifunguliwe na maisha yaendelee.
Maana ukiachana na sehemu za viwanja vya mpira ambapo watu wanakusanyika kwa wingi pamoja na shule na vyuo.
Sehemu nyingine au kada nyingine maisha yanaendelea kama kawaida.
Hata watoto wenyewe walioambiwa wabaki nyumbani ili kuepukana na Corona, wapo mtaani tu kazi yao ni kuzurura hawana hata huo muda wa kujisomea.
Labda kwa watoto wa kishua ambao maisha yao yanawaruhusu kuishi maisha ya lockdown.
Nawasilisha.
Tatizo linakuja je watoto watakua salama huko mashuleni?
Kuna video moja nimeona juzi ya China, mtoto anaenda shule Yani anapofika kwanza yuko na mask na gloves, pili anapimwa joto anakua sanitized na machine Yani yeye na bag from head to toe yanii anafanyiwa clearance kiasi kwamba unaona kabisa unakua na amani...
Ile clip niliiona hadi nikashindwa kushangaa. Najua hatuwezi fikia huko lkn tufanye kitu kuonesha kuwa tunajilindaTatizo linakuja je watoto watakua salama huko mashuleni?
Kuna video moja nimeona juzi ya China, mtoto anaenda shule Yani anapofika kwanza yuko na mask na gloves, pili anapimwa joto anakua sanitized na machine Yani yeye na bag from head to toe yanii anafanyiwa clearance kiasi kwamba unaona kabisa unakua na amani...
Ni wazo zuri lakini mazingira ya kuwalinda wanafunzi na walimu yawepo imara kulingana na mazingira husika.
Kwanza sio Mr.Umeanza vizuri na kuitimisha vibaya
Wewe ni Mr. Impossibility
Kabisa yanii watoto wanaeza Rudi mashuleni wakaendeleza maisha yale Yale kucheza kuchangamana n.k Kama hakuna namna acheni tu shule zifungwe kubeba mimba sio mchezo ati
Mazingira yakishawishi wazazi hakuna ambae ataacha mtoto abaki nyumban.
Ukiwaza misongamano ya madarasani esp shule zetu za kawaida unahisi kuchanganyikiwa.
Yes, hatuwezi kwa kweli.Ile clip niliiona hadi nikashindwa kushangaa. Najua hatuwezi fikia huko lkn tufanye kitu kuonesha kuwa tunajilinda
Mkuu huko mtaani kwenu umewafungia ndani hao watoto?