NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
BimaHii gari kwenye profile yako ni aina gani mkuu??
Kabla ya kufungua shule kama serikali(MOH),WHO washasalim amri basi waongeze madarasa ili watoto wetu wakae >1.5m kutoka mwanafunzi hadi mwanafunzi ,wahakikishe wazazi wanawanunulia barakoa wanafunzi,pia serikali ihakikishe inakuwa na maji tiririka kila darasa na sabuni kila mtoto atakuwa ananawa akiingia class.Kwa huo mtazamo wako ninaouona, manake shule haziwezi kufunguliwa kamwe kutokana na nature au uchumi wa nchi yetu. Umeshaambiwa huenda lisiishe na tukaishi nao Kama magonjwa mengine kikubwa tahadhari. Wenzio tumeshaanza kuishi nao Kama kifaduro. Tunaomba Mungu tu shule zifungue vijana wetu waendelee na masomo huko.
Umezungumzi kusoma kwa njia ya TV halafu hujagusia changamoto zake. Wadogo zangu mpaka leo hawajawahi kushuhudia hicho kipindi huko kijijin waliko. TV yenyewe shida, umeme wenyewe ndo usiseme. Usifananishe unafuu wako kwa mwenzio.
Shule zikifungua wanao ubaki nao kwanza maana watapata Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaelewa kabisa nature ya wanafunzi lakini...Kabla ya kufungua shule kama serikali(MOH),WHO washasalim amri basi waongeze madarasa ili watoto wetu wakae >1.5m kutoka mwanafunzi hadi mwanafunzi ,wahakikishe wazazi wanawanunulia barakoa wanafunzi,pia serikali ihakikishe inakuwa na maji tiririka kila darasa na sabuni kila mtoto atakuwa ananawa akiingia class.
We ni mungu,hata kama aishi Leo lazima tahadhali ziendelee kuchukuliwa,hata hivyo maisha yanaendelea kama kawa maana hakuna lockdown. Sasa endelea na madhalau ya kutochukua tahadhali atakufyeka sasa hivi