Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

Mataga bwana.daah.
Eti kama Uingereza.. unajua has precautions ambazo uk kazitumia? Unafananisha mashule ya DSM na UK.

Kwanza kule wanapima. Wewe hupimi kwanza huamini hizo mashine.

Msitake kutuulia watoto.

Ila nyie jamaa daaah.

Mtasababisha tuingie msituni tu potelea pote
 
Tatizo linakuja je watoto watakua salama huko mashuleni???

Kuna video moja nimeona juzi ya China, mtoto anaenda shule Yani anapofika kwanza yuko na mask na gloves, pili anapimwa joto anakua sanitized na machine Yani yeye na bag from head to toe yanii anafanyiwa clearance kiasi kwamba unaona kabisa unakua na amani

Sasa je hapa tunaweza ama ndo tunaenda kupoteza watoto wetu maana watoto immunity zao sio Kama watu wazima.

Lazima ziwepo namna esp kwa watoto wa level ya primary na nursery.
Ila Kama Hali Ni hii hii sijui Kama Kuna mzazi aliye na uchungu na mwanae anaeza ruhusu mtoto atoke Tabata mpaka Ubungo(labda ndo shule) kwa hali iliyopo.
 
Mataga bwana.daah.
Eti kama Uingereza.. unajua has precautions ambazo uk kazitumia? Unafananisha mashule ya DSM na UK.

Kwanza kule wanapima. Wewe hupimi kwanza huamini hizo mashine.

Msitake kutuulia watoto.

Ila nyie jamaa daaah.

Mtasababisha tuingie msituni tu potelea pote

Unataka kumwinda nani huko msituni?

Njoo burigi
 
Shule na ligi ni vitu viwili tofauti kabisa katika kuvitekeleza
Iko hivi: Endapo ligi luu Tanzania bara ikarejea na mechi kuchezwa katika viwanja mbali mbali hapa nchini, basi ni vyema pia vyuo na shule zifunguliwe na maisha yaendelee.

Maana ukiachana na sehemu za viwanja vya mpira ambapo watu wanakusanyika kwa wingi pamoja na shule na vyuo.

Sehemu nyingine au kada nyingine maisha yanaendelea kama kawaida.

Hata watoto wenyewe walioambiwa wabaki nyumbani ili kuepukana na Corona, wapo mtaani tu kazi yao ni kuzurura hawana hata huo muda wa kujisomea.

Labda kwa watoto wa kishua ambao maisha yao yanawaruhusu kuishi maisha ya lockdown.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo linakuja je watoto watakua salama huko mashuleni?

Kuna video moja nimeona juzi ya China, mtoto anaenda shule Yani anapofika kwanza yuko na mask na gloves, pili anapimwa joto anakua sanitized na machine Yani yeye na bag from head to toe yanii anafanyiwa clearance kiasi kwamba unaona kabisa unakua na amani...

Umeanza vizuri na kuitimisha vibaya
Wewe ni Mr. Impossibility
 
Ile clip niliiona hadi nikashindwa kushangaa. Najua hatuwezi fikia huko lkn tufanye kitu kuonesha kuwa tunajilinda
 
Kabisa yanii watoto wanaeza Rudi mashuleni wakaendeleza maisha yale Yale kucheza kuchangamana n.k Kama hakuna namna acheni tu shule zifungwe kubeba mimba sio mchezo ati

Mazingira yakishawishi wazazi hakuna ambae ataacha mtoto abaki nyumban.

Ukiwaza misongamano ya madarasani esp shule zetu za kawaida unahisi kuchanganyikiwa.
Ni wazo zuri lakini mazingira ya kuwalinda wanafunzi na walimu yawepo imara kulingana na mazingira husika.
 
Umeanza vizuri na kuitimisha vibaya
Wewe ni Mr. Impossibility
Kwanza sio Mr.
Cha pili, unataka nifanyeje, kumbuka ninachoongelea hapa Ni mazingira rafiki kwa mtoto

Serikali ikituonyesha wazi kwamba tunao uwezo wa kuweka watoto shule hakuna mzaz atapinga
Mimi naweza nikachukua hatua nikamvalisha mwanangu mask gloves na sanitizer nikampa je huko shule mazingira Ni rafiki??

If there is possibility of health assurance to my child I won't hesitate aende shule kwa amani zote.
 
Kabisa yanii watoto wanaeza Rudi mashuleni wakaendeleza maisha yale Yale kucheza kuchangamana n.k Kama hakuna namna acheni tu shule zifungwe kubeba mimba sio mchezo ati

Mazingira yakishawishi wazazi hakuna ambae ataacha mtoto abaki nyumban.

Ukiwaza misongamano ya madarasani esp shule zetu za kawaida unahisi kuchanganyikiwa.

Mkuu huko mtaani kwenu umewafungia ndani hao watoto?
 
Ile clip niliiona hadi nikashindwa kushangaa. Najua hatuwezi fikia huko lkn tufanye kitu kuonesha kuwa tunajilinda
Yes, hatuwezi kwa kweli.
Ila zikitolewa mbinu zinazomshawishi mzazi kumpeleka mtoto shule na mzaz ukaona hapa kweli mwanangu yuko salama mbona shule anaenda kwa amani zote.

The thing ni kwamba mpka Sasa bado hatujaona zile measures ambazo at least Mimi Kama mzaz ntapata amani kwa masaa 9 ambayo mtoto yuko shuleni.
 
Back
Top Bottom