Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

Kwanza sio Mr.
Cha pili, unataka nifanyeje, kumbuka ninachoongelea hapa Ni mazingira rafiki kwa mtoto

Serikali ikituonyesha wazi kwamba tunao uwezo wa kuweka watoto shule hakuna mzaz atapinga
Mimi naweza nikachukua hatua nikamvalisha mwanangu mask gloves na sanitizer nikampa je huko shule mazingira Ni rafiki??

If there is possibility of health assurance to my child I won't hesitate aende shule kwa amani zote.

Noted . worry not
 
Najaribu kuwaza hivi shule zitaendelea kufungwa hadi lini??
Corona ndo hivo bado motomoto,e mungu tuendelee kutulinda..
 
Mataga bwana.daah.
Eti kama Uingereza.. unajua has precautions ambazo uk kazitumia? Unafananisha mashule ya DSM na UK.

Kwanza kule wanapima. Wewe hupimi kwanza huamini hizo mashine.

Msitake kutuulia watoto.

Ila nyie jamaa daaah.

Mtasababisha tuingie msituni tu potelea pote
Msituni mnaenda kwa kibali cha nani ?
 
Do! ninachokiona ni mahakama na Magereza kama hayatoshi kwa kesi za mimba zilizopo huko mtaani si kwa likizo hizi ni balaa vinginevyo madaktari wajipange kwa kuua watoto kwa utoaji mimba ambayo ni laana ya ajabu kwa taifa.
 
Watoto kurudi au kutokurudi shule ni yaleyale tu mzazi anasema mtoto asirudi shule wakati huu mda huo huo anamuweka gengeni auze mandazi.

Watu sjui hawajui au hawaoni au wanasababu zao tu watoto hawashindi ndani hawa nimichezo na wanacheza kwa makundi kama shule tu.

Pool table kwa sasa zinajaa watoto kurudi shule ni wazo zuri litaftiwe utekelezaji mzuri basi
 
watoto wafungue tu shule kwan tumeshaambiwa hili gonjwa haliishi leo wala kesho kwaiyo watoto zetu waendelee tu kukaa mtaan miaka yote? mbona uku mtaan hakuna tahadhali yeyote maana watoto ndio kwanza wameingia kwenye ajira zisizo rasmi! wengine wanaenda kuwasaidia mama zao kuuza chakula, wwngine wanauza maji , wengine wanauza mifuko yaan ni ujinga mtupu uku mtaan!! shule zifunguliwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watoto wafungue tu shule kwan tumeshaambiwa hili gonjwa haliishi leo wala kesho kwaiyo watoto zetu waendelee tu kukaa mtaan miaka yote? mbona uku mtaan hakuna tahadhali yeyote maana watoto ndio kwanza wameingia kwenye ajira zisizo rasmi! wengine wanaenda kuwasaidia mama zao kuuza chakula, wwngine wanauza maji , wengine wanauza mifuko yaan ni ujinga mtupu uku mtaan!! shule zifunguliwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nimepita Mwananyamala Mwinjuma pale karibu na kituo cha polisi, watoto wanacheza mpira saa 4 asubuhi. Wapo kama 20 hivi.......hakuna chochote tunachojiuzia nacho.

Nikaenda Lugalo pale nikakuta watoto wa kota za jeshi nao wanacheza mpira mbele ya baba zao na mama zao. Nikapandisha kule juu magorofa mapya watoto wametoka mtaani wamewatembelea mwenzao mtoto wa kota. Swali linakuja, tahadhari yenyewe iko wapi?

Shule na vyuo vifunguliwe tu.
 
Hao hao WHO ndio waliohamasisha lockdown, leo hii wanasema haitasaidia katika nchi ambayo Covid 19 imeingia tayari...... Sasa tuamini lipi?
 
Ninawaza sana kuhusu kufungua shule kwa sasa, maana ni afadhali shule za vijijini napotembea kwa miguu..

.maana mijini ambapo watoto wengi wanapanda daladala ambazo kabla ya corona konda alikuwa hataki watoto zaidi ya watano sasa na levo siti hii naiona taabu mpya kwa watoto wa kaya maskini...

Ushauri wangu kufanyiki upangwaji upya wa wanafunzi na walimu ili wawe karibu na shule zao ingawa ni ngumu kidogo...

Na serikali itoe msaada wa namna ya kuwasafirisha wanafunzi kupeleka shule za karibu na makazi yao...

Lakini social distance ni janga jingine maana size ya vyumba vya madarasa ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi ni ngumu kutimiza hili...

Hebu tusubiri tuone Mungu atatuvushaje katika hili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja mashule yafunguliwe mapema mwezi wa sita tu, korona korona korona korona kwanza haiwapati watoto wana harakati nyingi sana sio kama baadhi ya njemba humu. Mmesikia watoto wangapi wana korona?

Pamoja na either kuishi kwa karibu na ndugu zao au jamaa zao wenye korona. Fungua shule baba tuchape kazi
 
Back
Top Bottom