Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,161
- 2,668
Samahani kwa yeyote nitakayemkwaza kwa hii mada lakini ni sehemu ya kubadilishana mawazo:
Ni hivi; Mtu anapofiwa kuna mawili, moja ni kulia tena kwa machozi, nyingine kulia kimya kimya machozi hayatoki. Sasa kuna watu wakifiwa na mtu wao wa karibu kabisa, kila wakijaribu walie kwa machozi hawafanikiwi, hao tuseme wana kasoro ama kuna jambo lingine linalowasumbua?
Nina mfano wa mzee aliyefariki siku ya mazishi ya mwanae mpendwa. Mzee huyu hakuonekana kulia kabisa baada ya kupata habari za msiba wa mwanae, lakini wakati wa mazishi akiwa amesimama kaburini alianguka na ikawa ndio mwisho wa maisha yake.
Wanafamilia wakaanzisha msiba mpya!

Kuna wengine ni attention seekers

wakiona watu wengi....

Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa

anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu

halafu anaanza maaaaaa maa weeee

siaaaamini umetutokaaaaa

tutakwendaaa wapiii sieeeeee

wananiudhi hao,basi tu..
Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.
Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.
Samahani kwa yeyote nitakayemkwaza kwa hii mada lakini ni sehemu ya kubadilishana mawazo:
Ni hivi; Mtu anapofiwa kuna mawili, moja ni kulia tena kwa machozi, nyingine kulia kimya kimya machozi hayatoki. Sasa kuna watu wakifiwa na mtu wao wa karibu kabisa, kila wakijaribu walie kwa machozi hawafanikiwi, hao tuseme wana kasoro ama kuna jambo lingine linalowasumbua?
nimefungua haraka kweli sikusoma vizuri heading nikatafsiri tofauti!
Pole sana dada yangu!Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.