Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

Is this a post from katibu muenezi of the ruling party of this country or im just a victim of a poor joke? a very poorly written post of the day.
 
Nape inakubidi ufahamu kuwa siasa siyo mipasho. SIASA SIYO MIPASHO!
 
Mbona Nape anashindwa kujibu hoja.Mimi nasikitishwa na kauli za Nape lazima ziwe na kejeri, kwa sisi wasomi mtu hata kama humpendi vipi lazima uheshimu elimu yaka.Kama ni Dr utamuita Dr kama ni professor Utamuita ivyo.Kwa kauli kama hizo za Nape mimi napata mashaka na vyeo mnavyopewa.Nikiangalia naona ni siasa za chuki tu.

Amesoma Diploma za mwaka mmoja mjoma unategemea anaelewa hata maadili ya taaluma wakati hana taaluma. Huyu hana nidhamun kabisa. Kama Dr Slaa ni Babu, sasa Kinana ni nani? Mbona anajidhalilisha sana. Nape, jitendee haki na watendee hali waliokuchagua. Ina maana Kwa kuwa Dr Slaa ni BABU; Kinana ni..........! Acha hayo kijana. Tunakutegemea.
 
Tobaa!!! Eti nawe unajiona una kiwango cha juu cha kusababisha Dr Slaa akukimbie!!! Ni taahira tu ambaye atashindwa kujua ni nani aliye na kiwango cha juu kati yenu lakini kwa mwenye akili timamu hilo liko wazi kabisa. Huwezi kuvivaa viatu vya Dr utaadhirika.
 
SIASA ZA MAJITAKA ZA CDM NA KUTAFUTA CHEAP POPURALITY ZITAWAMALIZA.
Kwenye hili hauitaji kuwa na degree kugundua ushakunaku wa cdm na mafuasi wake makanjanja.
Hivi inakuaje katibu mkuu wa ccm anatoa udhuru na kumtuma muakilishi wake na halafu mnadai kamkimbia.
Hivi mwenye akili nzima anaitaji kuelezewa jinsi hawa watu wawili wasivyolingana kiuelewa?
Dr mtu asiejiweze hata kujenga hoja inakuaje unataka kumuweka na Kanari na katibu mkuu wa ccm?
Huu ni upuuzi ambao atauamini mjinga na sio mtu anaeweza kuchambua mambo.
Poor cdm.

Nina hakika haya uliyoyaandika siyo kwa hiari ya ufahamu wako bali ni hitaji la mwili.
 
Ni kweli kwamba Kinana atakuwa alikimbia mdahalo na kisha kunsukumizia Nape. Nape ni mropokaji na hana hoja kabisa na ndio maana akapewa kitengo cha uropokaji. Kinana si mropokaji. Anajua kuzungumza na anazungumza kiutu uzima. Tatizo alihofia mambo yake ya tuhuma za ujangili yangeibuka hivyo kumkosesha hoja na kuzidi kumwanika.

Nape subiri mdahalo wako na Mnyika.
 
jamani msimlaumu sana bwana mdogo Nape. kwa mtazamo wa magambaz 'umri' ni kitu kinachopewa umuhimu mkubwa sana na kwao ujana ni hadi miaka 60. Si mnakumbuka wakati wanatuletea hili bomu linalotuhangaisha leo hii walilinadi kuwa ni 'kijana'. Kwao 'ubabu' vs 'ujana' ni mtaji mkubwa wa propoganda, na huyu ndiye msimamizi wa kitengo cha propogamda.
keep up bwana mdogo Nape.
 
Nape ni saizi yangu,kumpambanisha na Dr Slaa ni kumvunjia heshima Dr,huo mdahalo wauandae mimi katibu mwenezi wa tlp kata ya isale,na yeye katibu mwenezi wa ccm taifa
 
.....inayodai eti Kinana kamkimbia kiaina Babu Dr.Slaa!!!! Raafiki yangu mmoja asub alipoona gazeti la CHADEMA limeandika vile akanitania akasema nilitegemea UHURU waandike "KINANA AMPUUZA BABU DR. SLAA" nikamwambia UHURU linafanya kazi ya nchi si ya Chama pekeake ndo maana limekuwepo hata kabla ya CCM kuwepo!!
Kwa hiyo KINANA hajamkwepa BABU Slaa?Unamaanisha watakutana?Kama ndivyo poa maanawewe si size ya BABAU Slaa kwa sababu pamoja na mambo mengine, hujasoma tu PHILOSOPHY!
Gazeti la Uhuru lilikwepo kabla ya CCM lakini kama mlivyofanya kwenye viwanja vya michezo,limefanywa gazeti la CCM 100+1%...
Mwisho,neno BABU Slaa kwangu ni neno la heshima maana ni adabu kumwita Dr. Slaa babu hasa kwa mtu kama wewe ambaye babu yako mzee Mhana yuko Singida akisubiria umsaidie laki moja uliyomuahidi ya kumpa ili alime vitunguu tangia 2009 bila kumpa chochote....! LAANA hizo NAPE!
Nape bwana!
 
jamani msimlaumu sana bwana mdogo Nape. kwa mtazamo wa magambaz 'umri' ni kitu kinachopewa umuhimu mkubwa sana na kwao ujana ni hadi miaka 60. Si mnakumbuka wakati wanatuletea hili bomu linalotuhangaisha leo hii walilinadi kuwa ni 'kijana'. Kwao 'ubabu' vs 'ujana' ni mtaji mkubwa wa propoganda, na huyu ndiye msimamizi wa kitengo cha propogamda.
keep up bwana mdogo Nape.
Naunga mkono hoja mia kwa mia hapo kwenye red hata shigela eti ni kijana wa uvi.masisiem,teh teheeee
 
tangia nione f yako ya civics sijawai kukuelewa tena.
 
Back
Top Bottom