Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
F ya civicstangia nione f yako ya civics sijawai kukuelewa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
F ya civicstangia nione f yako ya civics sijawai kukuelewa tena.
This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
View attachment 2420687
Naomba kuthibitisha ana ngozi ngumu!.Mwenye ngozi ngumu ni hapa JF ni Pascal Mayalla wengine ngozi ya u-bwbw