Kufika 2025 petroli lita itakuwa 7,000/=?

Tusitegemee mafuta kushuka, bunge la bajeti ni bunge la kuongeza kodi, Tutegemee kuongezeka kwa kodi , huku bei za mafuta kupanda, sasa mwezi huu wa saba, na mwakani mwezi wa saba mafuta yatafika 7000.
Stay tune.
Kodi zipi zimeongezwa kwenye Mafuta?
 
Siku ambayo niliamini CCM Wana laana ni pale mwigulu aliposema uchumi wa Tanzania umekuwa kwasababu barabarani kuna magari mengi namba E..
Hii nchi inahitaji viongozi wenye Akili timamu
Waliopata vyeti ndio wanatutumbukiza shimoni huku wasio na vyeti kama akina msukuma ndio wanatubeba.
 
Bado watamsifia tu, utaskia "mama kaifungua nchi, watu Wana hela, petroli elfu 7 lakini mjini magari mengi foleni kubwa"

Kuna wajinga watasifia tu hata iweje
Eti kuna waziri anasema mama kapunguza vifo. Huo sio ushirikina kweli na uchuro?
 
Back
Top Bottom