Kufaru kipya cha Urusi cha wakosesha usingizi NATO

Kufaru kipya cha Urusi cha wakosesha usingizi NATO

Mkuu jifikirie kitu kidogo tu..mfano Saudi Arabia akamuomba US amtengenezee defence system ya kwake peke yake unafikir US atamtengenezea ilio sawa au ilioactive zaidi kuliko THAAD...?ukipata jibu nadhani utanielewa sasa
Systems zote au silaha zote zinazouzwa na haya mataifa makubwa hata siku moja haziwezi fanana au haziwi sawa na wanayotumia wao.
Mfano: F35 atakayokua anatumia Marekani haitakua sawa na atakayotumia Canada.Au THAAD atayonunua Saudia haitakua sawa na anayotumia Marekani vivyo hivyo S400 anayouziwa India na China haitakua sawa hata mara moja na ile anayotumia Mrusi mwenyewe.
Mfano mzuri zaid ni F15&F16 anazotumia Israel ni tofaut kabisa na ambazo wameuziwa mataifa mengine maana za israel zina uwezo mkubwa zaid ikiwemo ule wa kuzima radar za adui ndo maana unaona israel anatumia hizo ndege ambazo sio hata stealth kwenye missions zake nyingi tena nyingine za hatari, kama ile Operation Orchard.
 
Unadhan kwenye hyo NATO kama Marekani akitoka kitabaki mini?!
NATO=Marekani hao wengine geresha tu... Juz tu hapa Marekani kapeleka huko Ulaya, Poland vifaru kibaoooo na magari ya kivita mpaka nikawa najiuliza huko kwake kabakiwa na kitu kweli. Jiulize Uingereza au Ujeruman ana hvyo vifaru vingapi mpaka vingine maelfu avipeleke nchi nyngne.

NATO ni kama kwa zamani useme ile WARSAW PACT ukizungumzia WARSAW PACT unazungumzia USSR/Russia hao wengine walikua wasindikizaji.
Ndio maana Russia akaona bora asimame mwenyewe!
 
Ulinzi ni siri na kwenye maonesho hutolewa zile nyepesinyepesi tu.Ndiyo maana tender ya manunuzi ya vifaa vya ulinzi ni protected tender haitangazwi ni single source supplier no competition of tenderers.
Ni sirikama unatengeneza mwenyewe... Lakini kama unanunua huwa iko wazi, ndio maana utasikia Marekani kuiuzia Kenya hercopter au ndege vita, sio siri kwa kiasi unachodhani wewe. Wenye siri kwa siraha zao ni wanaojitengenezea wenyewe. Kama hamna hamna tu. Wakati mwingine tujikubali tu vile tulivyo.
 
mkuu hizo merkava si zilipigwa sana tu na hezbollah?

52 zilipigwa, 5 zikalipuka kabisa hazifai na 22 makombora yaliingia hadi ndani.

na kipindi hezbollah wanapiga israeli almost 23% (according to wikipedia) yalikuwa yanatua kwenye miji mikubwa ya israeli, israeli alihamisha raia wengi tu, hawakuwa na technology yoyote ya kuyazuia hayo makombora.

hao ni washirika tu na si urusi yenyewe, kwa nchi kama israeli bila msaada wa marekani hawezi dumu hata mwezi kupigana na urusi, itachakazwa nchi nzima.
Hata wiki moja hachukui
 
Systems zote au silaha zote zinazouzwa na haya mataifa makubwa hata siku moja haziwezi fanana au haziwi sawa na wanayotumia wao.
Mfano: F35 atakayokua anatumia Marekani haitakua sawa na atakayotumia Canada.Au THAAD atayonunua Saudia haitakua sawa na anayotumia Marekani vivyo hivyo S400 anayouziwa India na China haitakua sawa hata mara moja na ile anayotumia Mrusi mwenyewe.
Sasa mkuu nadhani umenielewa kwanini Israel sometimes anapiga defence system za Syria ambazo zimetengenezwa na Urusi lakin hawezi kujaribu kupiga air defence system ambazo zimetengenezwa na mrusi na anazitumia urusi mwenyew...

nikuulize swali jingine..

1.hivi unahis anaemnyima usingizi US kwenye maswala ya ushindani kivita ni nani..?

2.anaemnyima usingizi Russia kwenye maswala ya ushindani wa kivita ni nani..?
 
Si Israel wala si Marekani ambae atagusa air defenses za Urusi katika hali ambayo sio ya vita na pia si Russia wala China ambae atagusa asset ya Marekani katika hali ambayo sio vita ndo maana unaona kila siku Marekani anatuma mimeli vita yake kule black sea Mrusi anabaki kurusha tu ndege kuziangalia zinafanya nini au destroyers za Marekani kule south china sea. Ila kwenye vita maeneo hayo yanakua ni jehanam.

Mrusi na Marekani wamekua washindani toka zamani mpaka leo ni kama leo Chadema Vs CCM... CCM ina hofu na Chadema japo kuna vyama vingine vingi vya upinzani.
 
Armata MBT.....Russia
T92 MBT.......Russia
T72 MBT......Russia
Challenger.......US
Leopards ........Germany
Lecrec MBT......France
Merkava 4 MBT......Israel.
Zulfiqar MBT.......Iran
Karrar MBT.......Iran
Altay MBT.......Turkey..
Alkharid MBT.......Pakistan.
Countries with handful technology on [HASHTAG]#Main[/HASHTAG] [HASHTAG]#Battle[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanks[/HASHTAG]
China
South Korea
North Korea
Japan
India
Ukrain, Poland nk nk nk.....
ooooooh dunia niache kwenye tuta
 
Naona, kilichopo hapa ni mabishano, pro RUSSIA vs pro USA. Sina upande

Teknolojia ni swala la muda tu. Kinachoonekana bora leo hakitakua bora kesho. Wenzetu wamewekeza sana kwenye research, so kusema kifaru hicho ni bora sana si kweli

Vita haiamuliwi kwa ubora wa silaha tu, bali muunganiko wa mambo mengi ikiwemo humint(human intelligence), counter- technology, mazingira ya vita, etc etc

Ufanisi wa silaha haupimwi kwa release reports tuu, bali "real applications on the war front"

Kila teknolojia na silaha ina weakness na syrengths zake. Ufanisi wake utategemea namna gan adui anaweza kuexploit hizo weakness, haijalishi ni bora kiasi gan

Mwisho, hizi maneno za USA vs RUSSIA zimejaa exaggeration sana kuliko ukweli, ni mataifa yanayojaribu kujipaisha zaid

Niwape mfano kidogo. Kipindi cha nyuma, ndege ya Urussi aina ya MIG nimesahau version ilisifiwa kuwa tishio sana, ikauzwa sana nchi za kiarabu pro-RUSSIAN, lakini ilikua suala la muda tu kuiprove wrong. Ilipoingia vitani ilikuwa ni dhidi ya Israel kwenye YOM KIPPUR WAR, na ilichakazwa vibaya sana na ndege za kawaida tu

S300 imeonyesha dalili kwamba nayo wenzetu wameshaisoma, sasa tunaona wanavyoichezea pale SYRIA
 
Mkuu umemaliza yote[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwsni Armata ina nini cha ajabu?!
Kama hyo mifumo ya kujilinda hata Merkava inayo, tena Merkava tumeviona kwenye vita na Hezbollah ilivykua ikipangua maRPG ya hao wanamgambo(Hezbollah)

Hezbollah si mazezeta wa kushindwa kujua silaha ipi ya kuteketeza kifaru aina ya Merkava, mambo ya kudai eti walitumia RPG yana ukweli gani? Je,unaweza kutuwekea link ya ku-support madai yako, ni mwaka gani Hezbollah walipigana na Wayahudi, kama unazungumzia vita nchini Lebanon basi anti tank weapons zilizo tumiwa na Hezbollah ni Kornet ATGM zenye uwezo wa kupenya kwenye explosive reactive chuma/mabati yenye unene wa kufikia 1300mm, unene wa mabati wa vifaru vya Merkava hayafikii kiwango hicho, vile vile Kornet ATGM offers high immunity against jamming, sasa vifaru vya Wayahudi vina uwezo gani wa kupangua silaha zenye specs kama hizo - no wonders vifaru vilipata wakati mgumu vilipo tumiwa kuvamia Lebanon three quarters ya vifaru vilivyo vamia Lebanon viliteketezwa na vingine kuwa disabled.

Narudia kukumbusha tena kwamba Merkava Tanks havina kinga yoyote/uwezo dhidi ya Kornet ATGM, actually hivi sasa hakuna kifaru Duniani kinaweza kushindwa kulipuliwa na Kornet ATGM hakuna - hapa nazungumzia latest formidable Anti Tank Guided missiles not a Passive Rocket-Propelled Grenade za enzi ya 1960s.
 
BBC NEWS | Middle East | Tough lessons for Israeli armour

Embedded media from this media site is no longer available

6c8abcaabc509b8dd36d0138f286ee73.jpg

Ati akuna kifaru kinachopona dhid ya Kornet, labda kornet nyingine ila sio hii iliyokua ikidakwa na Merkava.
 
kuna kitu warus wanaita T-50 eti kuwa ni strong in this 5th generation....Indians nawengine wameprove wrong hii T-50 tech yake iko 4-4.5 generation kwahyo warusi wanaiita ni 5th 'in name only' kasome hizi habari zake....hizi zote T-50 na J-20 ya china ni bora lkn ndogo sana kwa 5th generation ya US , F-35B na F-22 raptor..One thing is Russia na China wanaiba tech ya US ...yan unaambiwa aanasubir US atengeneze au agundue then wanamodfy na russia wanajua kujipaisha sana wakati tech yao siyo...Kumbuka Zile Scud alizo muuzia Iraq na kumwambia ziko bora lkn ziliharibiwa vibya ...mfumo wa S-Defence nao unapwaya....China nao J-20 inafanana na F-22 raptor ma hacker wa kiChina walihack na kuiba architecture ya hii F-22raptor....na ndio maana jiulize kwanini US hafanyi maonesho ya kijeshi alisha gundua wanacopy na kumodfy ...angalia hadi wakina Kim wana ICBM....kasimeni hizi habar zipo ....Mfano F-35 vs T-50 and J-20...ila tu hizi habar pro Russians na wengine hawawez kukubali hatakama akisema Mad Dog mattis watu watabisha kisa ushabiki.
 
Haya jana US katest missile interceptor yake katika kuwatoa hof wananchi na kuwakumbusha kuwa hakuna Nuke au ICBM itakayo ingia US....yani karusha ICBM yake na kui intercept na walifanikiwa kuhiti hiyo ICBM ikiharibiwa vibaya kutoka angani
50dcaf3016ac1b379517ae4c1a45411a.jpg

Mrusi hii tech hana, kama anayo mwambie atest...unajua kwanini hatest? ...yaan interceptor yake inatumia Nukes bomb kuhit an enemy ICBM kwahiyo inahit target na kutoa madhara makubwa si inatumia nukes!
0f80d7f3fe224a6df4b620689a0bc41b.jpg
ni sawa na anacho fanya huyu mtoto
129f51b2aa22231307bbae6f2437778a.jpg
 
kinacho nifurahisha bbc wamesema kinachowapa wasiwasi NATO,lakini wewe inaonekana unajua zaidi kuliko bbc..ipo siku watasema Putin kajinyea lakini ww useme hapo hakuna jipya ata maraisi wa marekani wameshajinyea sababu ya kupinga kila kitu..vingine acha vipite kimya tu boi
Hahahaaaa
 
Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Embu weka jokes pembeni mkuu.
 
Ni sirikama unatengeneza mwenyewe... Lakini kama unanunua huwa iko wazi, ndio maana utasikia Marekani kuiuzia Kenya hercopter au ndege vita, sio siri kwa kiasi unachodhani wewe. Wenye siri kwa siraha zao ni wanaojitengenezea wenyewe. Kama hamna hamna tu. Wakati mwingine tujikubali tu vile tulivyo.
Ni kweli itatangazwa nchi Fulani kuiuzia silaha lakini huwezi jua silaha hizo.
 
Back
Top Bottom