Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo ndiyo utajua mwanaume ni nani Nato nchi 28 Mrusi yupo pekee yake tu ila anawafanya watu walale makorido wazi wanachungulia nje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo ndiyo utajua mwanaume ni nani Nato nchi 28 Mrusi yupo pekee yake tu ila anawafanya watu walale makorido wazi wanachungulia nje
Mkuu huwezi kuandika bila lugha chafu? Wakenya wakiita Tanzania ni nchi ya mashoga utajisikiaje?We team Taifa la mashoga israel
Israel katika wanaume 10 ,basi kati ya hao Saba wote sio ridhiki,,,uho ni utafiti wa kimataifa,, na wayahudi wanajivunia kwa hilo mkuu ,,si kwamba mi naongea kwa chuki, hapana, ilo lipo wazi boss,Mkuu huwezi kuandika bila lugha chafu? Wakenya wakiita Tanzania ni nchi ya mashoga utajisikiaje?
Tunaomba huo utafitiIsrael katika wanaume 10 ,basi kati ya hao Saba wote sio ridhiki,,,uho ni utafiti wa kimataifa,, na wayahudi wanajivunia kwa hilo mkuu ,,si kwamba mi naongea kwa chuki, hapana, ilo lipo wazi boss,
Huna data za kutosha. Merkava iliprove ineffective katika vita ile. Ndio maana Israel iliomba pooo kwa kutumia UN. Wanamgambo wa Hizbullah walishinda ile vita mpaka yule waziri mkuu alijiuzulu. Uko wapi wee?? Merkava ilikuwa inayeyuka kwa silaha duni za Hizbullah. Mpaka leo Israeli haijapata jibu la silaha zileKheeee... Leo Hezbollah wana silaha duni[emoji23] ?!
Nyie si kila siku huwa mnawasifia humu kwamba wana silaha nzito. Kwahyo unataka kunambia Iran anatengeneza silaha duni?!
[emoji23] unaweza kuniletea data nione hizo Merkava zilizoyeyuka?! [emoji38]Huna data za kutosha. Merkava iliprove ineffective katika vita ile. Ndio maana Israel iliomba pooo kwa kutumia UN. Wanamgambo wa Hizbullah walishinda ile vita mpaka yule waziri mkuu alijiuzulu. Uko wapi wee?? Merkava ilikuwa inayeyuka kwa silaha duni za Hizbullah. Mpaka leo Israeli haijapata jibu la silaha zile
Unadhani NATO ni Marekani pekee?!
Kuna vinchi vidogo vinavyoogopa hvyo vifaru ila sio Marekani ndugu...
Rejea Iraq uone jinsi vifaru vya mrusi kama vile T-72 vilivyokua vikilipuliwa na Abraham.
Hv ww hujiuliz kwanin kila siku mrusi akizindua silaha lazima aipambanishe na Marekani lakin zikikutana vitan hazifui dafu.
Mfano mzuri ni hizo airdefenses zake Israel kila siku anazichezea mpaka Iran wakabadili codes sijui lakn Israel mpaka kesho anaingia Syria mpk sebulen kama kwake

Ndugu Punguza Ushabiki kidogo basi....Air defence ya Syria is almost obsolete kwasasa kwani hana Latest Air defence zaidi ya S-200 na vi Bunduki za Rasharasha zakutungua ndege ambazo altitudes zake ni very limited....Jiulize kwann US/Israel wana Lobby Russia asiwape Syria au asiwauzie S-300, S-350Vilyaz or S-400? nadhan jibu unalo! S-200 ni old modal fashion ambayo only one missile inabebwa kwenye erector na ilikua dizain kwa bombers km B-52,B2 etc na sio kufight latest fighter jets ambazo zipo kwenye inventory ya Israel like F-15,F-16 and now F-35....Weakness ya Russia ni kuwasikiliza maadaui zake uku washirika wake wakizidi kuzidiwa na US,NATO.....Imagine jinsi US alivomhimarisha muIsrael kwa air defence mf Hawk missile,Patriotic na joint projects za Arrow na David Sling na Iron Dome.....The only option ni kudivilop za kwako na kwakutumia code zako apo utakua safe.....Unadhani NATO ni Marekani pekee?!
Kuna vinchi vidogo vinavyoogopa hvyo vifaru ila sio Marekani ndugu...
Rejea Iraq uone jinsi vifaru vya mrusi kama vile T-72 vilivyokua vikilipuliwa na Abraham.
Hv ww hujiuliz kwanin kila siku mrusi akizindua silaha lazima aipambanishe na Marekani lakin zikikutana vitan hazifui dafu.
Mfano mzuri ni hizo airdefenses zake Israel kila siku anazichezea mpaka Iran wakabadili codes sijui lakn Israel mpaka kesho anaingia Syria mpk sebulen kama kwake
Kwanza kabla ya kuendelea tuangalie specifications za S200 kwa versions mbalimbali, hatujui Syria anayo version ipiNdugu Punguza Ushabiki kidogo basi....Air defence ya Syria is almost obsolete kwasasa kwani hana Latest Air defence zaidi ya S-200 na vi Bunduki za Rasharasha zakutungua ndege ambazo altitudes zake ni very limited....Jiulize kwann US/Israel wana Lobby Russia asiwape Syria au asiwauzie S-300, S-350Vilyaz or S-400? nadhan jibu unalo! S-200 ni old modal fashion ambayo only one missile inabebwa kwenye erector na ilikua dizain kwa bombers km B-52,B2 etc na sio kufight latest fighter jets ambazo zipo kwenye inventory ya Israel like F-15,F-16 and now F-35....Weakness ya Russia ni kuwasikiliza maadaui zake uku washirika wake wakizidi kuzidiwa na US,NATO.....Imagine jinsi US alivomhimarisha muIsrael kwa air defence mf Hawk missile,Patriotic na joint projects za Arrow na David Sling na Iron Dome.....The only option ni kudivilop za kwako na kwakutumia code zako apo utakua safe.....
Kwanza kabla ya kuendelea tuangalie specifications za S200 kwa versions mbalimbali, hatujui Syria anayo version ipi
![]()
Ukimaliza hapo angalia video hii kuanzia dk. 0:40 [emoji115]
![]()
Hayo sio maneno yangu ni maneno ya kamanda wa Russia.
[emoji23] ww acha tuMkuu kumuekewesha Mrusi-mTZ unanijipa kazi ....hata putin akikubali wanaweza kataa...kinacho mpa kichwa Putin na fans wake ni hii miaka miliwi ike LiberalCNN na Forbes kutoa list ya The most powerful people in the world" na putin ka edge miaka yote miwili hapo ndo sifa zilianza...hadi saiv wanajitutumua...kama wanyamwezi wali sambaratisha USSR basi Urus ni 1/9th.
Unaongelea vifaru gani..hivyo Armata vya kirusi au ?Hivyo vyenyewe hata jeshi lenyewe la Urusi halijapata vya kutosha na nafikiri hakuna export version mpaka sasa hivi...sis vifaru vyetu vitakua ni design ya T....Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Hezbolah ni kikundi tu kile tena ambacho hakina hata haki ya kununua silaha openly kwenye soko la Dunia.....hawawez kupambana na Israel..Kheeee... Leo Hezbollah wana silaha duni[emoji23] ?!
Nyie si kila siku huwa mnawasifia humu kwamba wana silaha nzito. Kwahyo unataka kunambia Iran anatengeneza silaha duni?!
Kuna mkataba kati ya Russian na USA popote mmoja wapo anapofanya operation basi mwingine hamgusi suala la nani ana nguvu kuliko mwingine hata wao wenyewe hawajui na wanaogopanaMrusi si juzi hapa aliungana na Iran na Turkey wakaweka sijui SAFE ZONES ndani ya Syria na wakasema kwamba ndege yoyote itakayopita eneo hilo eneo hilo itapuliwa, kwa ushenzi Marekani kapitisha ndege zake hapo na mabomu juu mbona hawajamgusa kama wao wanaume. Na bado yupo Syria mpk leo anaangusha mabomu.
Rejea mwaka juz au jana wakat S400 inapelekwa Syria.. Yule kamanda wa Urusi si alisema watadungua ndege yoyote ngeni ndani ya Syria, jiulize walishawah igusa ya Marekani hata moja au hata drone?!
Hezbollah wanafadhiliwa kisilaha na IranHezbolah ni kikundi tu kile tena ambacho hakina hata haki ya kununua silaha openly kwenye soko la Dunia.....hawawez kupambana na Israel..
Mashariki ya kati pale mtu mwenye uwezo wa kumsumbua Israel ni Iran tu.
Tunaomba huo utafiti
Mrusi si juzi hapa aliungana na Iran na Turkey wakaweka sijui SAFE ZONES ndani ya Syria na wakasema kwamba ndege yoyote itakayopita eneo hilo eneo hilo itapuliwa, kwa ushenzi Marekani kapitisha ndege zake hapo na mabomu juu mbona hawajamgusa kama wao wanaume. Na bado yupo Syria mpk leo anaangusha mabomu.
Rejea mwaka juz au jana wakat S400 inapelekwa Syria.. Yule kamanda wa Urusi si alisema watadungua ndege yoyote ngeni ndani ya Syria, jiulize walishawah igusa ya Marekani hata moja au hata drone?!
HahahahahaaaHapo ndiyo utajua mwanaume ni nani Nato nchi 28 Mrusi yupo pekee yake tu ila anawafanya watu walale makorido wazi wanachungulia nje